Mzuka Mwanajamvi!
Ajali ya ndege binafsi (Private jet) iliyosababisha Kifo cha mwanamziki wa country music kutoka Brazil imepelekea mshtuko mkubwa sana Brazil na nchi za Latin.
Marilia Mendonca miaka 26, alikufa pamoja na wengine wanne wote waliokuwa kwenye iyo ndege twin-engine plane shattered against the rocks ambayo ilianguka ijumaa karibu na kwenye maporomoko kusini mashariki Brazil ambapo walikuwa wakielekea mji wa Minas Gerais Caratinga ambapo alitarajiwa kuperform kwenye tamasha.
Mendonca aliweka video kwenye account zake za Twitter na Instagram saa moja kabla ya ajali iyo kutokea ikimuonesha akisukumiza begi lake na kubeba guitar akitembea kuingia kwenye ndege yake.
Mendonca ambaye jina lake la utani 'Queen of suffering" kwa nyimbo zake zenye hisia na ujumbe mzito kwa waliovunjika moyo kwenye mapenzi pia nyimbo zake zilikuwa na ujumbe kuwapa nguvu wanawake.
Alikuwa na subscribers 22 millions youtube, 39 millions Instagram.
Kifo chake kimeleta Simanzi Brazil na watu maarufu kutuma salamu za rambirambi akiwemo Rais wa Brazil Jair Blosonaro na Neymar ambao walisema taifa liko kwenye mshtuko