raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Ajali za anga hazina secnd chance dah ni mara moja tu umepotea 😟😟😟
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya wanatukia helikopta kuua watu mashuhuri/wanasiasaAjali za ndege na Helicopter binafsi zimeshamiri kutokea sana miaka ya karibuni na kuua watu matajiri na watu mashuhuri.
Upande wa abiria unaonekana haujaharikibika kabisaaaa, may be lbd walitua kwa kishindo na kupata mshtukoMzuka Mwanajamvi!
Ajali ya ndege binafsi (Private jet) iliyosababisha Kifo cha mwanamziki wa country music kutoka Brazil imepelekea mshtuko mkubwa sana Brazil na nchi za Latin.View attachment 2001878
Marilia Mendonca miaka 26, alikufa pamoja na wengine wanne wote waliokuwa kwenye iyo ndege twin-engine plane shattered against the rocks ambayo ilianguka ijumaa karibu na kwenye maporomoko kusini mashariki Brazil ambapo walikuwa wakielekea mji wa Minas Gerais Caratinga ambapo alitarajiwa kuperform kwenye tamasha.View attachment 2001880View attachment 2001881
Mendonca aliweka video kwenye account zake za Twitter na Instagram saa moja kabla ya ajali iyo kutokea ikimuonesha akisukumiza begi lake na kubeba guitar akitembea kuingia kwenye ndege yake. View attachment 2001885
Mendonca ambaye jina lake la utani 'Queen of suffering" kwa nyimbo zake zenye hisia na ujumbe mzito kwa waliovunjika moyo kwenye mapenzi pia nyimbo zake zilikuwa na ujumbe kuwapa nguvu wanawake.
Alikuwa na subscribers 22 millions youtube, 39 millions Instagram.
Kifo chake kimeleta Simanzi Brazil na watu maarufu kutuma salamu za rambirambi akiwemo Rais wa Brazil Jair Blosonaro na Neymar ambao walisema taifa liko kwenye mshtukoView attachment 2001886
Sijapinga uwepo wa ndege zenye engine 4 miongoni mwa hizo ulizotaja. Binafsi sio aeronautical engineer ila nimefuatilia ndege nyingi kuhusiana na umiliki na gharama zake za uendeshaji na drawdowns/limitations (utafiti wangu umejikita zaidi kwenye private jets). Nakubali na napenda kurekebishwa ili nami nijifunze kilichosahihi. Engine kubwa na zaidi ya moja huongeza uwezo wa kuruka mbali zaidi bila refueling pamoja safety, miongoni mwa machache nayojua haraka haraka. Na kweli helicopter rotor inapofeli lazima mshuke chinj, hamna namna ya kujitetea angani zaidi ya kuchukua parachutes.Mkuu hata ndege yenye engine mbili inaweza kupata hitilafu kwenye engine moja na mkaland salama.
Pia ndege zenye engine 4 zipo na siyo kama wewe unavyodai.
Mfano Kuna Airbus A380, Airbus A340 na Boeing 747. Hizi ndio ambazo nimezikumbuka haraka haraka.
Na katika hizo nilizotaja ni B747 tu ndio bado inazalishwa...
The rest wameshaacha kuzalisha.
Hujui lolote kuhusu aviation you'd rather shut off ur asshole[emoji35][emoji35][emoji35]Ndege binafsi wanatumia marubani wa "kuunga unga". Haviko stable upepo kidogo ,miguu juu.
Marubani hawana sauti kwamiliki . Hali ya hewa ikiwa mbaya hawasikilizwi,we twende bwana.
Gharama za matengenezo ni kubwa na ndege hazitumii NHIF,unatoa cash.
Hata hizi executive jets kama Gulfstream550 anayoitumia rais ni rarely kupata fatal accidents ...Kwa mfano kwa Kobe Bryant alikuwa ana helicopter (chopper) kinsingi hio Ina engine moja na rotor ikifeli lazima muende chini, huyu mwanamuziki wa Brazil yeye alikuwa na ndege ya twin- turbine (nayo ni jet ya bei rahisi japo Ina engine mbili). Kwa mtazamo wangu naona ni technical failures ndio sababu. Jet ambazo rare sana kupata ajali ni mid-range jets na high-end jets. Hapa ni kama Bombardier Challenger (mid-range jet) na nyinginezo ambazi mostly huanzia $15,000,000 kwenda juu, hizi jets huwa na engine 4 na kuendelea,na engine inaweza feli angani na bado mkaweza kuland salama kutokana na engine zingine kuwa nzima.
Gulfstream 550 hio ni jet kubwa upo sahihi mkuuHata hizi executive jets kama Gulfstream550 anayoitumia rais ni rarely kupata fatal accidents ...
Wewe waona ni aina ya ndege zipi binafsi zenye uimara zaidi?Sijapinga uwepo wa ndege zenye engine 4 miongoni mwa hizo ulizotaja. Binafsi sio aeronautical engineer ila nimefuatilia ndege nyingi kuhusiana na umiliki na gharama zake za uendeshaji na drawdowns/limitations (utafiti wangu umejikita zaidi kwenye private jets). Nakubali na napenda kurekebishwa ili nami nijifunze kilichosahihi. Engine kubwa na zaidi ya moja huongeza uwezo wa kuruka mbali zaidi bila refueling pamoja safety, miongoni mwa machache nayojua haraka haraka. Na kweli helicopter rotor inapofeli lazima mshuke chinj, hamna namna ya kujitetea angani zaidi ya kuchukua parachutes.
Na itakua ni huo huo mshtuko ndio umewauaUpande wa abiria unaonekana haujaharikibika kabisaaaa, may be lbd walitua kwa kishindo na kupata mshtuko
Afadhali sasa najua wenye flight phobia tuko wengi 😂😂😂😂Niliona hivi kila Mara ndoto zangu za kupanda ndege zinafifia kabisa
Na ni ya bei rahisi na mkangafu uliofufuliwa,. Ngoja tuoneHafu kuna mtu anataka leta ndege. Ayaa.