Ajali nyingine ya ndege binafsi yamuua mwanamziki mashuhuri wa country Brazil

Ajali za anga hazina secnd chance dah ni mara moja tu umepotea 😟😟😟
 
Ajali za ndege na Helicopter binafsi zimeshamiri kutokea sana miaka ya karibuni na kuua watu matajiri na watu mashuhuri.
Kenya wanatukia helikopta kuua watu mashuhuri/wanasiasa
 
Siku napaa pale BORA INTR.nilikuwa mwingi wa mawazo sana! Hasa nilikuwa nawaza kifo cha Kobe na Gigi [emoji848][emoji22]

Ashukuriwe mola nilifika salama huko ughaibuni
 
Upande wa abiria unaonekana haujaharikibika kabisaaaa, may be lbd walitua kwa kishindo na kupata mshtuko
 
Sijapinga uwepo wa ndege zenye engine 4 miongoni mwa hizo ulizotaja. Binafsi sio aeronautical engineer ila nimefuatilia ndege nyingi kuhusiana na umiliki na gharama zake za uendeshaji na drawdowns/limitations (utafiti wangu umejikita zaidi kwenye private jets). Nakubali na napenda kurekebishwa ili nami nijifunze kilichosahihi. Engine kubwa na zaidi ya moja huongeza uwezo wa kuruka mbali zaidi bila refueling pamoja safety, miongoni mwa machache nayojua haraka haraka. Na kweli helicopter rotor inapofeli lazima mshuke chinj, hamna namna ya kujitetea angani zaidi ya kuchukua parachutes.
 
Hujui lolote kuhusu aviation you'd rather shut off ur asshole[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Hata hizi executive jets kama Gulfstream550 anayoitumia rais ni rarely kupata fatal accidents ...
 
Wewe waona ni aina ya ndege zipi binafsi zenye uimara zaidi?
Na bei yake inaanzia US $ ngapi?
 
Kwa ufahamu wangu ndege za bei rahisi ndio hizo ambazo tunasikia sana ajali zake, mfano Helicopter ya kawaida tu ya kutembelea huuzwa $2mil ($2,000,000) karibu sawa na bil. 5 TZS ila ndege zenye akili na very reliable angalau bei yake huwa ni from $15,000,000 japo hapa unakuwa umeotea sana,nyingi huuzwa kuanzia $20,000,000 (unaweza bahatisha maana nyingi ni used jets so kila kampuni inayouza huwa ina bei yake kulingana na brand yao na bei ya sokoni) na Bombardier Challenger nyingi huanzia bei hio. Mfano wa Bombardier ya mid-range ni jet ya Davido anayosafiria (gharama yake ni around $20,000,000 hio ni base price bila Kodi). Jet kama aliyokuwa anatumia Warren Buffett hio ni kuanzia $45,000,000 na kuna jets zinakuja na features nyingi sana, zingine zinafika hadi $100,000,000. Jets Ina ballroom, swimming pool, golf yard na taka taka kibao, yaani kwa safari ya masaa 30+ huwezi kuwa umekaa tu. Utakaa, utaoga, utalala, utakula, utacheza golf na mengine kibao. Ni wewe na pesa yako tu. (Maintainance ya jet kwa mwaka Tenga walau USD 1-3mil. Kama pesa inakuruhusu jichange umiliki, lakini ni muhimu kuwa na safari nyingi ndani ya mwaka, nje ya hapo ni hasara kununua jet while safari zako ni chache, ndio maana wengi hawanunui japo uwezo wa kumiliki wanao. Kila la kheri mkuu, binafsi napenda sana jets, hapo kwa mid-range jets ndio penyewe kabisa. (13-14 passengers, WiFi, kitchen + coffee maker, 1/2 bedroom pamoja na displays kwisha habari). Kumiliki jet ni sawa na kumiliki gari, safari haupangiwi so long as weather inaruhusu na upo tayari kusafiri na watu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…