Hili la wamachinga kuvamia kufanya biashara pembezoni mwa barabara liangaliwe upya, unakuta watu wamepanga nyanya hadi gari zinakosa pa kupita RIP marehemu
Na sio jijino ni jijiniDuh..so sad!..pumzikeni pema wamma wapiganaji ...Naomba nikurekebishe kidogo ..ni Maafa sio mahafa..
Askari...sio Askali🙊
Na sio jijino ni jijini
Pole kwa wafiwa
Hili la wamachinga kuvamia kufanya biashara pembezoni mwa barabara liangaliwe upya, unakuta watu wamepanga nyanya hadi gari zinakosa pa kupita RIP marehemu
xana🤣🤣🤣kivuruge ww...hahaaa lols!
Na sio wafiwa ni wafiliwa.Na sio jijino ni jijini
Pole kwa wafiwa
Wafiliwa labda kama ni kimakondeNa sio wafiwa ni wafiliwa.
Ni maeneo mengi yako hivyo kwa sasa, ingawa wanatafuta riziki lakini usalama wao ni muhimu ila wabishi mnooHili la wamachinga kuvamia kufanya biashara pembezoni mwa barabara liangaliwe upya, unakuta watu wamepanga nyanya hadi gari zinakosa pa kupita RIP marehemu
Lugha sahihi kabisa, kwenye lugha yetu ya kimakonde hakuna hilo nenoWafiliwa labda kama ni kimakonde
ma fox mmeongezeka hahahhaha natania you are right. Lugha inaharibika.Duh..so sad!..pumzikeni pema wamma wapiganaji ...Naomba nikurekebishe kidogo ..ni Maafa sio mahafa..
Askari...sio Askali🙊
Hahaha yule ndo founder mrekebishaji!kiukweli mm nikiona mtu anaandika kiswahili kibovu huwa nakua mzito sana!sijui ni uvv wa kuhudhuria shule?yaan nawasubiri tu wanangu wawe wanaandika ovyo...🤣!nimejizatiti balaa!ma fox mmeongezeka hahahhaha natania you are right. Lugha inaharibika.