Ajali: Watu watatu wafariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari jijini Arusha

Ajali: Watu watatu wafariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari jijini Arusha

Bado pale kariakoo...naona watu wanapanga bidhaa Hadi kwenye round about na nguzo za taa za kuongozea magari
 
Sio salama kufanya biashara au shughuli yeyote pembezoni mwa barabara lolote linaweza kutokea pia Saloon sio aina gari ni aina ya body
 
Back
Top Bottom