Ajali: Watu watatu wafariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari jijini Arusha

Hahaha yule ndo founder mrekebishaji!kiukweli mm nikiona mtu anaandika kiswahili kibovu huwa nakua mzito sana!sijui ni uvv wa kuhudhuria shule?yaan nawasubiri tu wanangu wawe wanaandika ovyo...[emoji1787]!nimejizatiti balaa!
Jitahidi kuboresha zaidi, hapa pia kuna namna umeharibu. Katika Kiswahili hakuna neno mm, wala uvv badala yake tuna mimi na uvivu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Jitahidi kuboresha zaidi, hapa pia kuna namna umeharibu. Katika Kiswahili hakuna neno mm, wala uvv badala yake tuna mimi na uvivu[emoji1][emoji1][emoji1]

Hahahahah! Ni kweli mkuu...hizi hazina ubaya wowote ..anywys!asante ntarekebikaπŸ˜„
 
Hili la wamachinga kuvamia kufanya biashara pembezoni mwa barabara liangaliwe upya, unakuta watu wamepanga nyanya hadi gari zinakosa pa kupita RIP marehemu
Kiongozi wa maraika aliwaambia Fanyeni biashara popote alimaradi muwe na vitambulisho vya machinga awe wa kwanza kulaumiwa.
 
Hili la wamachinga kuvamia kufanya biashara pembezoni mwa barabara liangaliwe upya, unakuta watu wamepanga nyanya hadi gari zinakosa pa kupita RIP marehemu
Wameruhusiwa na uongozi wa huu na kupewa bitambulisho vya machinga ili wasibughuziwe na magari.
 
Poleni sana wafiwa kwa majanga makubwa
 
Hi Sera unalipa 20,000 unapanga vitu barabarani ni ya hatari, Arusha wamama watu wamekufa wawili wamejeruhiwa.
Sasa nenda kariakoo watu wamepanga vitu mpk kwenye taa za kuendeshea magari.

Ccm imegeuka mkoloni mweusi.
 
Taifa la wajinga
 
Siasa

Mbona JK hakuogopa kunyimwa kura mpaka ku'compomise' professionalism
 
wenye magari wawe waangalifu na wamachinga, barabara sio za kwao peke yao
 
Hahaha yule ndo founder mrekebishaji!kiukweli mm nikiona mtu anaandika kiswahili kibovu huwa nakua mzito sana!sijui ni uvv wa kuhudhuria shule?yaan nawasubiri tu wanangu wawe wanaandika ovyo...🀣!nimejizatiti balaa!
Sio kujizatiti ni kujidhatiti
 
Kwa nini siku hizi,kiswahili kinapotoshwa,hawa wanaondika hivi kimakosa,wasiposahihishwa, kizazi kinachokuja,hakitajua kosa hili.Kwa mfano kwenye H wanaweka A na kwenye A wanaweka H,vile vile kwenye L wanaweka R na Kwenye R wanaweka L.
Duh..so sad!..pumzikeni pema wamama wapiganaji ...Naomba nikurekebishe kidogo ..ni Maafa sio mahafa..
Askari...sio Askali[emoji87]
 
Kwa nini siku hizi,kiswahili kinapotoshwa,hawa wanaondika hivi kimakosa,wasiposahihishwa, kizazi kinachokuja,hakitajua kosa hili.Kwa mfano kwenye H wanaweka A na kwenye A wanaweka H,vile vile kwenye L wanaweka R na Kwenye R wanaweka L.

Haaahaha...mimi nadhan hata walimu wanachangia labda...maana sijui shida ni nn jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…