Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

Kindeena

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
11,462
Reaction score
21,124
BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill.

Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.

East Africa TV
 
Hiko kilima itafutwe solution ya kudum,kimemaliza sana watu.
 
Miaka kadhaa kulikuwa na bar pamoja na hardware pale mataa ya kuelekea wazo kiwandanii

One day mfumo wa brek wa lori ukashindwa fanya kazi, lori likaingia hadi counter, wateja wakajiokotea cement

Poleni mlofikwa na changamoto
 
Poleni mno kwa wote waliofikwa na madhara ya ajali hii, tatizo lipo pale pale watanzania hatuna utamaduni wa kujifunza na kutafuta solutions kwa matatizo yetu, hizi ajali zimetokea sana ile sehemu na zitaendelea kutokea, kwangu muundo wa barabara ile umekosewa kabisa, na yale matuta ndio yameongeza tatizo na kuwa kubwa zaidi, ile lami ifumuliwe yote, tuta zile ondoa zote, Jenna yellow line pana zaidi both side, corners zake zichimbwe kidogo ili kuleta grip kubwa kwa vehicles, weka fixed speed camera 📸, na elimu kwa pedestrians na bodaboda itolewe ili waelewe kuwa makini zaidi wanapokua barabarani
 
Back
Top Bottom