Poleni mno kwa wote waliofikwa na madhara ya ajali hii, tatizo lipo pale pale watanzania hatuna utamaduni wa kujifunza na kutafuta solutions kwa matatizo yetu, hizi ajali zimetokea sana ile sehemu na zitaendelea kutokea, kwangu muundo wa barabara ile umekosewa kabisa, na yale matuta ndio yameongeza tatizo na kuwa kubwa zaidi, ile lami ifumuliwe yote, tuta zile ondoa zote, Jenna yellow line pana zaidi both side, corners zake zichimbwe kidogo ili kuleta grip kubwa kwa vehicles, weka fixed speed camera 📸, na elimu kwa pedestrians na bodaboda itolewe ili waelewe kuwa makini zaidi wanapokua barabarani