Ajali ya Azerbaijan Airlines iwe somo kwa ATC!

Ajali ya Azerbaijan Airlines iwe somo kwa ATC!

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
1. Nianze kwa kuwapa pole wafiwa na majeruhi wote katika ajali ya Azerbaijan airlines iliyotokea jana huko Kazakhastan.

2. Natumaini ni somo tosha kwa ndege pendwa ATC kuzingatia hatua zote za usalama (kabla ya safari) Isije kuwamwaga watu huko milima ya Uluguru na hatuna bimbo vya uokozi sijui itakuaje.
 
usalama wa ndege zao kama ilivyoainishwa na umoja wa ulaya (EU).
Ndege zote duniani ni salama na hupaswa kufuata kanuni za kiusalama zilizowekwa kwenye makubaliano ya kimkataba kupitia International Civil Aviation Organization(ICAO).

Labda itokee vinginevyo. Na ikitokea kanuni hazifuatwi basi mwenye makosa ni mamlaka ya Anga ya nchi husika.
 
Kwa Mujibu wa Mitandao kuna picha zinaonyesha matundu ya risasi surface to air machinegun pia kwenye bawa la kushoto ,(flaps) kuna uharibifu mkubwa. Ukiangalia video rubani alipambana kufanya stability control la sivyo asingepona MTU. Russia anatuhumiwa kuidondosha hiyo Ndege kutokana na Mashambulizi Anayofanya Sasa.TheEnd!!
 
Nianze kwa kuwapa pole wafiwa na majeruhi wote katyika jali ya Azerbaijan airlines iliyotokea jana huko Kazakhastan. Natumaini ni somo tosha kwa ndege pendwa ATC. Isije kuwamwaga watu huko milima ya Uluguru

Mm hata sijakuelewa. Somo lenyewe ni lipi?
 
Nianze kwa kuwapa pole wafiwa na majeruhi wote katyika jali ya Azerbaijan airlines iliyotokea jana huko Kazakhastan. Natumaini ni somo tosha kwa ndege pendwa ATC. Isije kuwamwaga watu huko milima ya Uluguru
Sasa ATC wajifunze nini wakati tulisha ambiwa hali ya hewa ilibadilika na kuna tetesi kuwa ilishambuliwa?
 
Back
Top Bottom