Ajali ya basi la Isamilo na Libanika, alfajiri ya leo

Kwaya ya Wasabato ya Kinyerezi ilikuwemo humo kwenye basi la Isamilo ikiyokea kwenye Makambi ya Pasisansi....Mshiriki aliyekuwa nao amenithitishia Wamefariki wamalwaya wawili sauti ya kwanza mmoja na sauti ya pili mmoja...majeruhi ni sita....Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi majeruhi...

 
So sad,nawaombea marehemu wapumzike kwa amani na majeruhi wapone haraka waungane na familia zao.
Madereve wetu kuweni makini barabarani mwaka 2016 niligombana na mmoja wa maderva tulikuwa tunatoka dar kwenda Mwanza,tumefika shinyanga dereva akawa anaendesha gari kwa spidi Kali sana nikamfata nikamgombeza vizuri alielewa Cha ajabu abiria wenzangu walikuwa wanaona kawaida tu ile spidi.Madereva badilikeni familia zanapata shida sana kuwapoteza wapendwa wao,tuwe makini.
 
Raia wengi wa Tanzania wana akili ndogo ndio maana hata wakiwa kwenye gari hawaoni tofauti ya mwendokasi wa hatari na speed ya kawaida, hawana habari kabisa na usalama wao safarini.
 
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutaterejea.

R.I.P all🌹
 
Hao wote wamefanyishwa mitihani na kuthibitishwa huko LATRA na pia ku-renew leseni zao waliombwa vyeti vya taaluma ya udereva kutoka VETA.

Bila kusahau hayo mabasi yamekaguliwa polisi yana sticker ya Wiki ya nenda kwa usalama.

Uzembe unadhibitiwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…