Barabara zipanuliwe njia nne,Hao wote wamefanyishwa mitihani na kuthibitishwa huko LATRA na pia ku-renew leseni zao waliombwa vyeti vya taaluma ya udereva kutoka VETA.
Bila kusahau hayo mabasi yamekaguliwa polisi yana sticker ya Wiki ya nenda kwa usalama.
Uzembe unadhibitiwaje?
Sasa hivi hakuna barabara zimejaa mahandaki madereva nao sijui wamepatwa na nini pombe mirungi bangi wenye mamlaka nao wamekalia siasa za chadema uchawa na rushwa1. Barabara nyembamba 2. Madereva wazembe 3. Mwendo kasi
Tatizo la kwanza ni rushwa ndiyo chanzo cha kwanza cha pili miundo mbinuHao wote wamefanyishwa mitihani na kuthibitishwa huko LATRA na pia ku-renew leseni zao waliombwa vyeti vya taaluma ya udereva kutoka VETA.
Bila kusahau hayo mabasi yamekaguliwa polisi yana sticker ya Wiki ya nenda kwa usalama.
Uzembe unadhibitiwaje?
Kwenye ajali za mabasi akifa dereva na kondakta Mimi naita GG yaani both to score!Ajali mbaya za basi la Isamilo linalofanya safari zake Mwanza-Dar kugongana uso kwa uso na basi la Libanika (Dar-Mwanza) iliyotokea alfajiri ya leo, kijiji cha Msembeta, kata ya Nala, wilaya ya Dodoma, mkoa wa Dodoma.
Kumekuwa na ripoti za vifo kadhaa na majeruhi wengi
Chanzo cha ajali ikiwa ni mwendokasi wa basi la Isamilo (linatoka Mwanza kwenda Dar) , ku overtake lori kwenye mlima na likiwa kwenye kona kali, kulivamia basi la Libanika lililokuwa linatoka Dar kwenda Mwanza
Updates
=========================
Wamefariki watu 9 ikiwemo dereva, makondakta na abiria
Jumla ya majeruhi ni 66 na 9 kati yao wameripotiwa kuwa katika hali mbaya na wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma
==========================
View attachment 3641954
View attachment 3641874View attachment 3641875
View attachment 3641983
View attachment 3641876
Ningekuwa na mamlaka ningepiga marufuku kuovertake.Hata juzi hapo kuna basi la Manyara limegongana uso Kwa uso na Lori, Kwa mujibu wa mashuhuda ni kwamba watu sita walifariki, watu wamekatika vibaya Sana and probably kuna zaidi watakaokufa maana Ile basi ni kama imekatika hivi....
Yani Ile trailer imekwenda kukata upande wa dereva kama kisu shwaa ikapita na wale waliokaa kulia, dereva mwenyewe licha ya kuwa kafariki lakini pia amekatika vibaya Sana, dereva Kipindi anaiona ajali hii hapa alisikika Tu akisema "Watoto wangu jamani" then kishindo Kikubwa...Konda hakuumia kabisa mzimaaa maana nasikia konda alivyoona Hapa kama kuna ajali basi akakimbilia kurudi nyuma ndio Pona Yake.
Mwenye Lori ndio mwenye Tatizo ame overtake reckless....
vipi siku ikigongwa katikatiRIP marehemu na pole nying kwa majeruhi.
Hii week kumetokea ajali nying za mabus ya abiria.
NB: mm Huwa nakaa siti ya katikati .
Upande wa Dereva.
abadan sikaagi siti za mbele.
Hao Abiria wa mbele sijuo kama wametoka salama.
Kwanza ni nadra.vipi siku ikigongwa katikati
Yaani mwenye Lori kabla haja overtake, mbele Yake Kulikuwa na Fuso, mwenye Fuso akampa ishara dereva wa Lori kuwa usinipite mbele kumekaa vibaya, dereva wa Lori akakaza fuvu akamu overtake mwenye Fuso, dereva wa Lori anamaliza akakutana na Hilo basi nalo limeiva, ndo wakachinjana...Yani ni harufu za damu, unaona nyama Tu kama watu wamechinjwa vile, watu wa malori wengi ukigongana nao lazima uumie vibaya...Ningekuwa na mamlaka ningepiga marufuku kuovertake.
Ajali zote duniani asilimia 99.ni kuovertake.
Sidhani kama kuna dereva wa bus huwa anazingatia sheria, hawa jamaa huwa wana overtake hadi kwenye zile kona za barabara ya Dom- Iringa.Yote hii ni shauri ya kutozingatia taaluma ya udereva. Una-overtake vipi kwenye mlima na uko mwendo kasi? Dereva lipungukiwa maarifa ya udereva! Ajali zinazotokana na ubovu wa gari ni chache mno, nyingi ni hizi za kusababishwa na binadamu.
Ila madereva wengine sijui huwa wana nini, ningekuwa na mamlaka sheria za dereva anaefanya makosa zingekuwa kali vibaya mnoo, hawajali kuhusu roho za watu kabisa. Kuna siku nimepewa lifti kwenye gari wamejaa familia nzima baba mama na mtoto wanatoka mjini, tumefika mahali kumbe Lori limeovertake halafu limeiva ghafla liko upande wetu,baba wa familia akatupeleka kwenye mtaro ndo ilikuwa ponapona yetu, ile siku sitasahau na yule dereva wa lile lori hata kama simjui sijawahi kumsamehe. Yaani ile siku wote tulikua tunafia pale pale na kigari chetu. Kinachoniuma yule dereva aliendelea na kazi na pengine hata amesababisha ajali na vifo huko alipo. Uzembe wa kiwango cha SGR.Sidhani kama kuna dereva wa bus huwa anazingatia sheria, hawa jamaa huwa wana overtake hadi kwenye zile kona za barabara ya Dom- Iringa.
Tena haoni mbele.
Ila madereva wengine sijui huwa wana nini, ningekuwa na mamlaka sheria za dereva anaefanya makosa zingekuwa kali vibaya mnoo, hawajali kuhusu roho za watu kabisa. Kuna siku nimepewa lifti kwenye gari wamejaa familia nzima baba mama na mtoto wanatoka mjini, tumefika mahali kumbe Lori limeovertake halafu limeiva ghafla liko upande wetu,baba wa familia akatupeleka kwenye mtaro ndo ilikuwa ponapona yetu, ile siku sitasahau na yule dereva wa lile lori hata kama simjui sijawahi kumsamehe. Yaani ile siku wote tulikua tunafia pale pale na kigari chetu. Kinachoniuma yule dereva aliendelea na kazi na pengine hata amesababisha ajali na vifo huko alipo. Uzembe wa kiwango cha SGR.
Mkuu, mi sitetei kitu chochote kinacholea uzembe wa madereva. Halafu sio tu kufanya mtihani, sheria ziwe Kali kiasi kwamba anaetaka kufanya uzembe anajiuliza mara 100. Halafu teknolojia itumike, trafiki hawezi kuwepo kila mahali, ila teknolojia inaweza kuwepo kila mahali, ukiovertake kijinga tu adhabu inakusubiri. Bado usalama wa barabarani sisi tunataniaSerikali ikitaka Hawa mbwa waende kufanya mitihani Darasani mnawatetea
RIP marehemu na pole nying kwa majeruhi.
Hii week kumetokea ajali nying za mabus ya abiria.
NB: mm Huwa nakaa siti ya katikati .
Upande wa Dereva.
abadan sikaagi siti za mbele.
Hao Abiria wa mbele sijuo kama wametoka salama.