R.I.PHabari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha basi la abiria na lori la mizigo aina ya Fuso.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya Chemba huku majeruhi wakiendelea kupatiwa matibabu.
DuhMakafara ya wanasiasa haya 😭
Najua unachowaza😁😁 aya basi kafara hizoMiezi ya ajali hii😭😭😭😭😭
Ccm sio binadamu mkuu niliyoyashuhudia Kwa mgombea maarufu wa ubunge Hivi majuzi jambo la hatari..
Naweka intelligence yangu sawa kama hajanigundua nimejua nakuja kushusha Uzi wa kumuumbua humu
ChechemeMakafara ya wanasiasa haya 😭
Unitag mkuuCcm sio binadamu mkuu niliyoyashuhudia Kwa mgombea maarufu wa ubunge Hivi majuzi jambo la hatari..
Naweka intelligence yangu sawa kama hajanigundua nimejua nakuja kushusha Uzi wa kumuumbua humu
Wazungu wanatia BLACK SEPTEMBER hizi ajali huwa zinakuwa nyingi Hadi DecemberMiezi ya ajali hii😭😭😭😭😭