Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Right, huyo Mallya ni kwamba Mbunge alienda akachukua mtu amuendeshe wakati hana leseni. Irresponsible. Huyu dereva wa aliyetelekezwa na Mwakyembe na atoe full testimony kama alikuwa under duress ya bosi.
Khaaa! wajemeni.....hapo kny bold sijui ulidhamiria kusema hivyo au vidole vimetelezea kwingine?
... sasa unataka kumlaumu mgonjwa kwa maamuzi ya watu wengine.! Unataka Mwakyembe atoke kitandani na kuanza kufuatilia kila kitu yeye mwenyewe?
si mpaka viteleze.. huwa hakosei kuandika.
I'm worried na hawa madereva wa mawaziri na wabunge ... look at Salome Mbatia's accident ... Chacha Wangwe's ... Zito kukoswakoswa ... and many others! can't these drivers be bribed ili wawapoteze wapiganaji???? aren't they intelligency affiliates?? who hires them??? some of these drivers waweza kuwa wanalipwa mshiko mkubwa ili kutekeleza mipango ya wakuu wa nchi ....
Yote yanawezekana mkuu, kwani hujasikia salamu za pole kutoka TBC? halafu wajameni, hivi hiyo TBC namna gani? hadi salamu za watu zinarushwa ama zimelipiwa? and what is special na hizo salamu why him?
habari nilizozipata kutoka Iringa ni kuwa dereva alitibiwa na kuruhusiwa kwa sababu hali yake haikuwa mbaya sana
Hao waliotoa maamuzi hayo ya kinyama hawana leadership stake yeyote, hao sisi hatuwajali.
Mwakyembe ndio mtu wetu, tunaambiwa yuko na fahamu zake nzima nzima. Kama ni kiongozi anaebeba matumaini ya wananchi kama anavyowekwa kwenye kiti cha enzi na kila mtu, basi angeonyesha leadership, angesema kutoka kitandani, jamani mnanipeleka Muhimbili, mwenzangu yuko wapi, kapona? Mwananchi wangu kauimia zaidi, yuko wapi? Sio kumtelekeza kama hivyo.
Anashindwa hata ku score vi political points kufeki anajali? Unaenda kwa specialist mwananchi wako polisi?
Hao waliotoa maamuzi hayo ya kinyama hawana leadership stake yeyote, hao sisi hatuwajali.
Mwakyembe ndio mtu wetu, tunaambiwa yuko na fahamu zake nzima nzima.
Kama ni kiongozi anaebeba matumaini ya wananchi kama anavyowekwa kwenye kiti cha enzi na kila mtu,
basi angeonyesha leadership, angesema kutoka kitandani, jamani mnanipeleka Muhimbili, mwenzangu yuko wapi, kapona?
Mwananchi wangu kauimia zaidi, yuko wapi? Sio kumtelekeza kama hivyo.
Anashindwa hata ku score vi political points kufeki anajali? Unaenda kwa specialist mwananchi wako polisi?
Could this accident be a setup?
Ndugu yangu pitia vizuri maelezo, au soma habari ya jamaa wa Iringa kwenye blog yake wametoa link, ameelezea yaliyotokea. Baada ya hapo ndiyo uanze haya maelezo yake si vizuri kuhukuma kama hujafanya utafiti wa kutosha. Ajali ni kitu cha kawaida kabisa katika nchi zetu ambazo barabara zetu ni mbovu. Kama umesafiri barabara ya Dar Mbeya utakubaliana nami, naweza kusema hii barabara imeharibika sana hasa kipande cha Iringa mjini mafinga ukiachilia mbali kipate cha iyovi mpaka iringa mjini ambacho ukarabati wake umeanza pia hizi barabara zetu hazina alama zote za barabarani ambazo zingweza kusaidia kuonyesha tahadhari. Pia wakati mwingine husababishwa na uzembe wa madereva kutofuata alama za barabarani na kanuni za kuovertake. Naungana na wana JF wenzangu kumpa pole mheshimiwa Mwakyembe pamoja na dereva wake, mungu awape nguvu ili wawe na afya njema.Si tuliambiwa dereva ndio kaumia zaidi, ataendaje chini ya ulinzi halafu mbunge aende kwa medical specialists Dar? Dereva, usikubali huu unyama kabisa. Naomba useme yote unayoyajua kuhusu kumuendesha huyo bosi.
Wakati wa ajali ya waziri Mbatia iliyotokea mitaa hiyo hiyo ambacho hakikusemwa japo ilikuwa ni open secret Wizarani ni kwamba Mkuu alikuwa na hulka ya kuwatia pressure madereva wakimbize ili wafike haraka.
Kama ndio haya haya, dereva toa full testimony ya kila kitu, wasitake kabisa kukuletea huu unyama kiongozi mwakilishi wako kukimbia Muhimbili kukuacha mwanachi unaoza hapo na tunaambiwa wewe ndio umeumia zaidi.
Hii uliona mkuu Dilunga?
habari nilizozipata kutoka Iringa ni kuwa dereva alitibiwa na kuruhusiwa kwa sababu hali yake haikuwa mbaya sana
Amezinduka...Ameumia taya...Hayuko hatarini...Vibaka wamewaaibia kila k2...dereva wake ameumia vibaya...
Taarifa ya habari TBC saa 10 jioni. Dk MWakyembe hajaumia sna ila ana michubuko na anaongea. Daktari anayemtibu (alizungumza live) anasema kuwa amevimba usoni inaonekana alijigonga sana wakati wa ajali ila hajavunjika sehemu yoyote.
Naamini ni ajali ya kawaida; HAKUNA MKONO WA MTU.Kuna ajali mbaya sana imetokea Ihemi maeneo ya Iringa karibu na kijiji cha Ifunda ambayo inamhusisha Dr. Mwakyembe
Kuna ajali mbaya sana imetokea Ihemi maeneo ya Iringa karibu na kijiji cha Ifunda ambayo inamhusisha Dr. Mwakyembe
Taarifa zaidi zinafuatia:
Picha ni hizi
Dr Mwakyembe akifikishwa hospitali ya mkoa wa Iringa leo baada ya ajali
Gari la Dr Mwakyembe likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali
Shimo lililosababisha ajari ya Dr Mwakyembe
Mkuu Next Level, na wewe uliiona hii?
Na hii?
Hiyo hapo radio ya nchi inasema Mkuu ana michubuko michubuko tu. Sasa alikuja kuvunjika mifupa hospitali baadae, au? Anaenda kwa ma specialist Muhimbili mwananchi wake kamtelekeza, unyama kabisa huu.
Sasa nimejiridhisha kuwa Mwakyembe hayupo katika hatari, akili yangu imeanza kurudi nyuma na kutazama yaliyotokea. Nimeiangalia picha ya shimo lilosababisha ajali na kuanza kujiuliza: linastahili kweli kusababisha tairi la land cruiser kung'oka? Sayansi yangu fupi inanionyesha kuwa gari linapokuwa katika mwendo wa kasi, kuna kitu waswahili tunakiita 'kufukia mashimo' ikimaanshisha kuwa mashimo madogo madogo (kama hili lililoonyeshwa kwenye picha) unaweza kuyaruka bila aliyeko kwenye gari kuhisi kuwa mmepita kwenye shimo. Sasa inakuwaje shimo kama hilohilo, lisababishe tairi kung'oka wakati gari kiliwa katika mwendo kasi?
Hivi pale Makambako gari lilihifadhiwa sehemu gani?