Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

Kutokana na maelezo ya dereva joseph msuya anasema kwamba rori lilikuwa linamfuata na liligonga gari yake kwa nyuma na kulifanya lipinduke mara nne. Je ajali ni ya kweli au ya kupikwa??
 
Hivi Mwakyembe ni msomaji wa JF kweli? Sasa atapataje kujua tunampa pole kwa wingi hivi. Tumtumie message kwenye simu yake (0754-284130) ajue watanzania tulivyo na uchungu naye. Yawezekana anahitaji kupumzika lakini mwanafamilia wake atamfikishia message zote atakapopata nafuu. Tumpe moyo mwenzetu aone tulivyo naye. Wala hii simu yake si confidential. Ni zile zilizo kwenye website ya bunge.
 
kwa tukio kama hili, lolote laweza kuzungumzwa coz amepata ajali mtu ambaye yupo kwenye spotlight "positively?".....hebu tujiulize, ingekua ni Rostam ndo kapata ajali, mngesemaje? only God knows....
 
yeah.. la kutotoka kwenye machela na kumtafuta dereva wake!
hatendewi haki......kwanza katika mazingira ya ajali huwezi kukumbuka mtu zaidi ya roho yako ni kutokana na kiwewe.....pili jamani dr tunaambiwa alikuwa akigulia maumivu makali na tumeambiwa kuwa kwa safari nzima toka iringa mpaka dar hakuweza hata kuzungumza kwa kuwa maumivu.....

...mtakatifu dilunga kosa la mwakyembe liko wapi? kaam hata kuongea hawezi angeulizia vipi hali ya suka wake?
 
Hivi Mwakyembe ni msomaji wa JF kweli? Sasa atapataje kujua tunampa pole kwa wingi hivi. Tumtumie message kwenye simu yake (0754-284130) ajue watanzania tulivyo na uchungu naye.

Kaibiwa kila kitu katika eneo la ajali, hii ni pamoja na simu ya mkononi
 
Mwanakijiji, hiyo taarifa ina details zaidi. Mwakyembe wanasema kachubuka tu, Bunge limesema ameenda Muhimbili kuchekiwa chekiwa tu. Dereva Joseph Msuya kaumia kichwa lakini kaachiwa aende zake:

Duu, Mbunge kachubuka chubuka, anachunguzwa zaidi, hohehahe kaumia kichwani kaachiwa lwake ajiju!

Ona huyu mende anavyoongea lakini kila siku haachi ku lecture watu humu ndani
 
... Kuna mahali popote panadokeza Dr alikuwa anajua dereva kaumia kichwani au karuhusiwa kwenda nyumbani?

Exactly my point. Alitakiwa ajue, maana alizinduka baada ya kusafishwa michubuko. Ndo maana nikasema kwa nini hakuuliza, ukanambia inawezekana aliuliza. Sasa hivi una wonder kama alijua.

Posted by Dilunga: basi angeonyesha leadership, angesema kutoka kitandani, jamani mnanipeleka Muhimbili, mwenzangu yuko wapi, kapona? Tusimtelekeze mwananchi wangu.

Posted by Mwanakijiji: Umejuaje hajauliza, au unataka kila nenoanalolitoa liandikwe kitabuni na kutangazwa..?

Sasa, alijua au hakujua mwenzake katelekezwa? Iwapo alijua basi alitakiwa asihi waje nae wote Moi. Kama hakujua, basi kwa nini hakujali kuuliza? Maana anaongea, keshasafishwa michubuko. Ni hivi:

Mwakyembe kachubuka. Bunge limempeleka Moi kuchekiwa zaidi ikibidi ng'ambo. Dereva aliyeumia kichwa hatachekiwa Moi, kaende lwake. Kundi JF linasema Mbunge pole, shujaa.

Wengine tunasema kila Juma na Roza nchini, kila "hohehahe," anastahili usawa wa haki ya matibabu kama wote.
 
Sasa, alijua au hakujua mwenzake katelekezwa? Iwapo alijua basi alitakiwa asihi waje nae wote Moi. Kama hakujua, basi kwa nini hakujali kuuliza? Maana anaongea, keshasafishwa michubuko. Ni hivi:
dilunga ulifaulu darasa la 7? una kichwa kigumu kweri kweri......kwa kukusaidia sikiliza bbc swahili unaambiwa hakuwa na uwezo wa kuongea....
 
Vyanzo vya Sumbawanga vinatema kwamba roli lililogonga gari la mwakyembe lilikuwa linaendeshwa na RA akishirikiana na EL, ndani ya roli inasemekana kulikuwa na ndondocha kadhaa wakiwamo akina Balali, Mbatia, Wangwe, Dito, Chifupa, Moringe wa Sokoine, Mchonga, James Dandu, na Kolimba.

Conspiracies ndio hizo!
 
dilunga ulifaulu darasa la 7? una kichwa kigumu kweri kweri......kwa kukusaidia sikiliza bbc swahili unaambiwa hakuwa na uwezo wa kuongea....

Ana PhD kulingana na yule mzee wetu wa kubreak newz!
 
Ana PhD kulingana na yule mzee wetu wa kubreak newz!

Pole sana Dr wetu.
Wana JF tunakutakia kila la kheri upone haraka.Tuziache tofauti zetu za kisiasa na tuungane pamoja kumuombea dk apone na arudi kazini kwake haraka.
 
Vyanzo vya Sumbawanga vinatema kwamba roli lililogonga gari la mwakyembe lilikuwa linaendeshwa na RA akishirikiana na EL, ndani ya roli inasemekana kulikuwa na ndondocha kadhaa wakiwamo akina Balali, Mbatia, Wangwe, Dito, Chifupa, Moringe wa Sokoine, Mchonga, James Dandu, na Kolimba.

Conspiracies ndio hizo!

Yaaaani wewe nakupa pole sana wafuate pole saann
 
Back
Top Bottom