Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
mtakatifu dilunga bana.....yaani mwakyembe anakosa tena?
yeah.. la kutotoka kwenye machela na kumtafuta dereva wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtakatifu dilunga bana.....yaani mwakyembe anakosa tena?
hatendewi haki......kwanza katika mazingira ya ajali huwezi kukumbuka mtu zaidi ya roho yako ni kutokana na kiwewe.....pili jamani dr tunaambiwa alikuwa akigulia maumivu makali na tumeambiwa kuwa kwa safari nzima toka iringa mpaka dar hakuweza hata kuzungumza kwa kuwa maumivu.....yeah.. la kutotoka kwenye machela na kumtafuta dereva wake!
Hivi Mwakyembe ni msomaji wa JF kweli? Sasa atapataje kujua tunampa pole kwa wingi hivi. Tumtumie message kwenye simu yake (0754-284130) ajue watanzania tulivyo na uchungu naye.
Mwanakijiji, hiyo taarifa ina details zaidi. Mwakyembe wanasema kachubuka tu, Bunge limesema ameenda Muhimbili kuchekiwa chekiwa tu. Dereva Joseph Msuya kaumia kichwa lakini kaachiwa aende zake:
Duu, Mbunge kachubuka chubuka, anachunguzwa zaidi, hohehahe kaumia kichwani kaachiwa lwake ajiju!
... Kuna mahali popote panadokeza Dr alikuwa anajua dereva kaumia kichwani au karuhusiwa kwenda nyumbani?
dilunga ulifaulu darasa la 7? una kichwa kigumu kweri kweri......kwa kukusaidia sikiliza bbc swahili unaambiwa hakuwa na uwezo wa kuongea....Sasa, alijua au hakujua mwenzake katelekezwa? Iwapo alijua basi alitakiwa asihi waje nae wote Moi. Kama hakujua, basi kwa nini hakujali kuuliza? Maana anaongea, keshasafishwa michubuko. Ni hivi:
dilunga ulifaulu darasa la 7? una kichwa kigumu kweri kweri......kwa kukusaidia sikiliza bbc swahili unaambiwa hakuwa na uwezo wa kuongea....
Why.. yani kwanini uwataje Marehem wa watu kwenye pumba zako..?
Ana PhD kulingana na yule mzee wetu wa kubreak newz!
..Tena ya Sheria...
Ana PhD kulingana na yule mzee wetu wa kubreak newz!
Rostam atoa salamu za pole kwa mwakyembe
tbc
Mbona anakuwa kiazi sana kuliko maelezo?
Vyanzo vya Sumbawanga vinatema kwamba roli lililogonga gari la mwakyembe lilikuwa linaendeshwa na RA akishirikiana na EL, ndani ya roli inasemekana kulikuwa na ndondocha kadhaa wakiwamo akina Balali, Mbatia, Wangwe, Dito, Chifupa, Moringe wa Sokoine, Mchonga, James Dandu, na Kolimba.
Conspiracies ndio hizo!