hivi, kwenye huu mjadala nimeona ubishi wakutoka kuwa hilo lorry nani kaliona, kumshutumu fisadi lowassa mhusika, public stunt to gain sympathy and votes etc etc etc, mambo mengi mno kufikia point ya mtu mmoja kuona kwamba sasa ni pumba tu inaendelea bola akapumzike.
the matter was simple with the Heading Kutoka kwa Mwakyembe: Press Release ambacho muheshimiwa anasema ya kwamba maelezo ya report ya polisi yanaupoteza Umma na ukweli wenyewe, kataja vipengele vyake ambavyo polisi wamejitungia na kataka kutueleza ajali ilivyokua kama abiria aliyekua ndani ya gari na sababu za kupinduka kwake na lile lorry kukimbia, na lile lorry kupelekea bodi gari lake. lorry alijamgusa ila dereva alikua anampelekea mtu yeyote atakwepa na ndio wakapinduka. sasa kama unaakili timamu kweli iwaje uulize lorry gani au usomi kilichoandikwa hapo juu. yeye mwenyewe muhusika anasema ajli ni ajali, na alijua ni ajali ya kawaida tu ingawa mambo yenyewe yalikuwa ni kama ya kwenye cinema. uongo uliofuatia ndio umemfanya kuamini ya kwamba kuna namna kwa nini upotoshe Jamii. kumbukeni sasa hivi ni ajali nane za wabunge tangia issue ya Richmond Ianze nne waliopona wamesema kulikuwa na ma-lorry, again what a coincidence uoni namna hapo bila kushutumu mtu LOOO!
Mungu Ibariki Tanznania