Wengine wamebaki nje wanasubiri kupewa taarifa ya nini kinaendelea.
Kuna ajali mbaya sana imetokea Ihemi maeneo ya Iringa karibu na kijiji cha Ifunda ambayo inamhusisha Dr. Mwakyembe
Taarifa zaidi zinafuatia:
Picha ni hizi
Wamefika Muhimbili, naambiwa hata Masilingi naye kaungana na waliomsindikiza Dr. Mwakyembe hospitalini hapo.
...msukuma kitanda utadhani ni 'masanja' mbangaizaji!
Mlioko IR, Hali ya dereva inaendeleaje? ingefaa naye aletwe Muh'2 jamani!
Poleni sana.
Dereva yupo chini ya ulinzi wa Polisi wakati Mheshimiwa kakodiwa ndege yupo Dar na kesho utasikia maneno India!
Ndio Bongo.
Invisible
Unaposema "hata" Masilingi nae yupo una maana hastahili kuwepo hapo? au vp?
habari nilizozipata kutoka Iringa ni kuwa dereva alitibiwa na kuruhusiwa kwa sababu hali yake haikuwa mbaya sana...msukuma kitanda utadhani ni 'masanja' mbangaizaji!
Mlioko IR, Hali ya dereva inaendeleaje? ingefaa naye aletwe Muh'2 jamani!
Poleni sana.
Kyeleuwiii!Invisible
Unaposema "hata" Masilingi nae yupo una maana hastahili kuwepo hapo? au vp?
habari nilizozipata kutoka Iringa ni kuwa dereva alitibiwa na kuruhusiwa kwa sababu hali yake haikuwa mbaya sana
Amezinduka...Ameumia taya...Hayuko hatarini...Vibaka wamewaaibia kila k2...dereva wake ameumia vibaya...
Atakuwa mjomba ake Masanja anae gema Ulanzi pale Tanangozi....msukuma kitanda utadhani ni 'masanja' mbangaizaji!
Dereva yupo chini ya ulinzi wa Polisi wakati Mheshimiwa kakodiwa ndege yupo Dar na kesho utasikia maneno India!
Si tuliambiwa dereva ndio kaumia zaidi, ataendaje chini ya ulinzi halafu mbunge aende kwa medical specialists Dar? Dereva, usikubali huu unyama kabisa. Naomba useme yote unayoyajua kuhusu kumuendesha huyo bosi.
Wakati wa ajali ya waziri Mbatia iliyotokea mitaa hiyo hiyo ambacho hakikusemwa japo ilikuwa ni open secret Wizarani ni kwamba Mkuu alikuwa na hulka ya kuwatia pressure madereva wakimbize ili wafike haraka.
Kama ndio haya haya, dereva toa full testimony ya kila kitu, wasitake kabisa kukuletea huu unyama kiongozi mwakilishi wako kukimbia Muhimbili kukuacha mwanachi unaoza hapo na tunaambiwa wewe ndio umeumia zaidi.
...kabisaaa, ndio mambo kama haya yaliyomponza Deus Mallya.
Right, huyo Mallya ni kwamba Mbunge alienda akachukua mtu amuendeshe wakati hana leseni. Irresponsible. Huyu dereva wa aliyetelekezwa na Mwakyembe na atoe full testimony kama alikuwa under duress ya bosi.