Gari la abiria lililokuwa linatoka Makumbusho kwenda Mbezi likiwa limeingia kwenye mtaro baada ya kudaiwa kusukumwa na roli eneo la Kimara Suka jijini Dar es Salaam jana.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia ajali hiyo, walisema baadhi ya abiria walijeruhiwa.