Ajali ya Gari kwenye Service Bay

Ajali ya Gari kwenye Service Bay

May be ila kwangu ndo nipo very comfortable kuendesha gari na nimeshakutana na mazingira hatarishi nikiwa barabarani ila sijawahi kushindwa ku control
Kwenye mazingira ambayo unahitajika kufanya maamuzi ya haraka sana, inaweza kukusababishia ajali.
 
Takwimu za Porisi madereva wengu wanaopata ajali walifeli somo la HISABATI!
 
Habari zenu wakuu
Jana jioni katika viunga vya Jiji la Arusha , Nilikuwa na jamaa yangu ametoka Dar , sasa kafanya mizunguko yake ya shughuli za kiserikali zilizomleta Arusha , kamaliza jioni nikaamua Nimepeleke pale kituo cha mafuta PANONE -NGARENARO ili amwage oil

Sasa jamaa wa pale Panone akawa anaumelekeza jamaa kuingia sehemu ya Service , ghafla tukasikia puuuuh

1. Gari ilipiga resi ya ajabu na ikagonga ukuta wa service bay

2. Airbag zikafumuka

3. Rejeta ikaaanza kuvuja

4. Bampa la mbele likapasuka
5. Kioo cha Mbele kikapata mpasuko (alama)

7. Engine, Gear box , Taa, Sight mirror hajizulika


Msaada na Maoni

1. Je airbag zinaweza kurudishiwa ?

2. Tatizo ni nini Gari kujipiga resi vile kama amekanyaga mafuta kwa nguvu


Maoni yenu wakuu
Mkuu vipi jamaa yako alifanikiwa kupata airbags? Kama bado ninazo zote mbili .
 
Paaaaaaaahhhh...

Bampa kulee, taa ya mbele kushoto kuleee... Radiator hukoooo
 
Back
Top Bottom