Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

Tuwaombee wazalendo wetu wapone haraka sana.Mungu anasema samehe Saba mara sabini
 
Wewe mpuuzi ulikuwa unataka kupiga picha tako la huyo dada. Nia yako ilikuwa ovu.
 
Hapo mashuhuda mmetuangusha. Ilitakiwa muwamalizie hao wapuuzi kama jinsi walivyolazimisha vifo vya wapendwa wetu wahanga wa MO29 kuwasokomeza kwenye mafriji mortuary wakiwa hai.
Polisi sio mtu wa kuonea huruma ni sawa na manyani tu, ukitaka kuyaua usiangalie majuso yao. Ni kipondo tu maaaneeena!
 
Kama hakuna polisi aliyekufa kwenye hiyo ajali basi ni vizuri na huu uzi nao ukafutwa tu. Kwa sababu utakuwa hauna maana yoyote ile.
 
Bila hao usingepata hata uhuru wa kuandika kama mtu aliyevimbiwa makande
Uhuru wa kuandika?
pimbi viazi nyie mmefunga mitandao mpk JF Kuna kesi huko mahakamani..
unaongelea uhuru gani we kiazi pimbi bogus pumpikin head?!
 
Umeandika kimbea mbea Sana, halafu unaonekana mkuu ni kamtu kafupi mno. Au ulitaka uwe WA Kwanza kuleta hii habari👎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…