Sasa we nae ulikuwa unachukua video au unataniaAjali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji kuponywa hatupo salama hata kidogo.
Hapo kuna majeruhi wapo pembeni wametapakaaa Damu wote ni polisi wamegongana na eicher ya Chanika watu hawatoi msaada inawanasema pembeni jamani polisi hayo maumivu ndio waliyokuwa wanapitia ndugu zetu waliopigwa risasi tarehe 29-30.
Endeleeni kuona hili ni jambo la kawaida sio jambo jema wala sio utamaduni wetu, hatua za haraka zichukuliwe kuponya Taifa letu.
Nenda melembe ukatibiweUhuru wa kuandika?
pimbi viazi nyie mmefunga mitandao mpk JF Kuna kesi huko mahakamani..
unaongelea uhuru gani we kiazi pimbi bogus pumpikin head?!
Polisi wakifa hata 500 kwa wakati mmoja ni sawa tuDah inauma sana
Safi sanaCHUKI YA WANANCHI KWA POLISI YAONEKANA TENA, WANANCHI BADO HAWAJAPONA MAJERAHA YAO.
WATANZANIA KUNA AJALI YA GARI LA
POLISI IMETOKEA HAPA UWANJA WA NDEGE DAR. Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji kuponywa hatupo salama hata kidogo.
Hapo kuna majeruhi wapo pembeni wametapakaaa Damu wote ni polisi wamegongana na eicher ya Chanika watu hawatoi msaada inawanasema pembeni jamani polisi hayo maumivu ndio waliyokuwa wanapitia ndugu zetu waliopigwa risasi tarehe 29-30.
View attachment 3518527
Utakuwa kaongo wewe, mbona raia kama wanahangaika kuwanusuru!CHUKI YA WANANCHI KWA POLISI YAONEKANA TENA, WANANCHI BADO HAWAJAPONA MAJERAHA YAO.
WATANZANIA KUNA AJALI YA GARI LA
POLISI IMETOKEA HAPA UWANJA WA NDEGE DAR. Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji kuponywa hatupo salama hata kidogo.
Hapo kuna majeruhi wapo pembeni wametapakaaa Damu wote ni polisi wamegongana na eicher ya Chanika watu hawatoi msaada inawanasema pembeni jamani polisi hayo maumivu ndio waliyokuwa wanapitia ndugu zetu waliopigwa risasi tarehe 29-30.
View attachment 3518527
Ili iweje mkuuKuna wanaotamani ingekuwa usiku.
Hahahatuoneshe hao majeruhi na sio matako ya huyo dada
Kukesha - ndio.Hao wanakesha kukulinda wewe ili ule makande yenu nyumbani kwenu