Ajali ya lori Kimara itufungue macho Watanzania

A

Anonymous

Guest
Niliwahi kuandika hapa JamiiForums juu hatari ya biashara kandokando ya barabara kuwa kuna siku gari likosa mwelekeo leo limetokea.

Tunaposema wananchi wa kawaida huwa ni kama vile kelele. Lakini hili viongozi waamke, angalau makala alijitahidi lakini sana ukiwa Kariakoo, Mabibo Sokoni, Mbezi watu wako kandokando wanafanya biashara, bodaboda wengi ili kuonekana wapo karibu sana na barabara.

Nilisema humu itakuja kutokea changamoto. Ni wakati wa kurekebisha hilo na wananchi waambiwe ukweli kuwa na hatari hata kama ni mapambano ya maisha lakini wakae eneo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…