Tetesi: Ajali ya magari daraja la Kibamba

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Wakuu,

Nipo katika foleni kubwa mno karibu na Daraja la Kibamba. Nimeambiwa kuwa kuna ajali mbaya ya magari mawili yaliyogongana. Yasemekana kuna waliopoteza maisha na majeruhi.

More to come...
 
Kuna ajali ya magari mawili yaliyogongana katikati ya Daraja la Kibamba. Kuna foleni kubwa mno. Nami nipo kwenye foleni hiyo nikielekea Kibaha. Naambiwa kuwa kuna waliopoteza maisha na waliojeruhiwa katika ajali hiyo.

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo hapa kuhakikisha kuwa mambo yanakwenda vyema. Taarifa zaidi zitafuata...
 
Tuma picha tuone hiyo folen kwanza....
 
Na hii ni siasa??
Na wewe ni wakili kabisaaaa..tena unajiita wakili msomi
Hovyo kabisa
 
Daah!
Mungu atusaidie na awape tahfeef majeruhi
 
Mungu atunusuru jamani na tambiko za mwisho wa mwaka, Mangi rudini DSM jamani foleni ipungue kidogo au kuwa na ombi mwezi huu kusafiri usiku.
 
Na hii ni siasa??
Na wewe ni wakili kabisaaaa..tena unajiita wakili msomi
Hovyo kabisa
Umeshiba viroba au wew Mod???Matusi ya nn? Acha mambo ya kipuzi by the way how old are??What happen km waliojeruhiwa na wanasiasa???
 
Mkuu, jukwaa hili lina wasomaji wengi. Nimelenga hilo. Nashukuru kwakuwa umejua kuwa mimi ni hovyo. ubarikiwe!
Cheap excuses, we don't buy it!
Petro E. Mselewa fuata utaratibu tafadhali, mambo ya kutafuta views nyingi kwenye jukwaa la siasa ndio zinafanya watu wapuuze jukwaa la habari na hoja!

Usirudie tena mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…