Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Law philosopher, achana na petty news kama hizi. Weka legal issue/nondo watu waelimike!Kuna ajali ya magari mawili yaliyogongana katikati ya Daraja la Kibamba. Kuna foleni kubwa mno. Nami nipo kwenye foleni hiyo nikielekea Kibaha. Naambiwa kuwa kuna waliopoteza maisha na waliojeruhiwa katika ajali hiyo.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo hapa kuhakikisha kuwa mambo yanakwenda vyema. Taarifa zaidi zitafuata...
SAWA MKUU NGOJA TUFUATILIEWakuu,
Nipo katika foleni kubwa mno karibu na Daraja la Kibamba. Nimeambiwa kuwa kuna ajali mbaya ya magari mawili yaliyogongana. Yasemekana kuna waliopoteza maisha na majeruhi.
More to come...