Ajali ya magari junction ya Salasala, Mbezi Beach na Kunduchi

Kwani Rafia iko kwenye kata gani mpwa?
Amesema kuwa ni junction ya Kunduchi na Salasala ndio sababu nilitaka uhakika kuwa hapo naona kama ni junction ya kilongawima na Salasala sababu upande wa pili ukivuka ndio unaenda salasala
 
Amesema kuwa ni junction ya Kunduchi na Salasala ndio sababu nilitaka uhakika kuwa hapo naona kama ni junction ya kilongawima na Salasala sababu upande wa pili ukivuka ndio unaenda salasala
Numejenga Salasala na hati yangu imeandikwa KUNDUCHI. Je What's wrong?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…