Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hii imetokea leo asubuhi Salasala junction, Mbezi Beach/Kunduchi.
Ile down ya Kunduchi, gari inaelekea imefeli breki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Rafia iko kwenye kata gani mpwa?Hivi hapo ni junction ya Kunduchi au kilongawima hapo si Rafia au nimeona vibaya
Amesema kuwa ni junction ya Kunduchi na Salasala ndio sababu nilitaka uhakika kuwa hapo naona kama ni junction ya kilongawima na Salasala sababu upande wa pili ukivuka ndio unaenda salasalaKwani Rafia iko kwenye kata gani mpwa?
Numejenga Salasala na hati yangu imeandikwa KUNDUCHI. Je What's wrong?Amesema kuwa ni junction ya Kunduchi na Salasala ndio sababu nilitaka uhakika kuwa hapo naona kama ni junction ya kilongawima na Salasala sababu upande wa pili ukivuka ndio unaenda salasala
Kata ya Kunduchi, Mtaa wa SalasalaNumejenga Salasala na hati yangu imeandikwa KUNDUCHI. Je What's wrong?
Ina husu lori lililoandikwa nyuma "Fimbo ya Musa" inaelekea limetoka mkoani.Gari gani? Je waweza kufafanua zaidi?
Inaelekea kufeli breki, gari karibia sita zimedhurika.Chanzo cha ajali ni nini chief