Ajali ya Mh Regia - tuna tatizo


umeshau kuwa kuna suala la training, mtu huchukua mda kufundwa hayo yote, sasa huyu kipenzi wetu anayetuletea majadala humu ndani imemchukua mda gani kuanza kumiliki gari kama sio baada ya kuingia kwenye siasa? Wenzio wanakuzwa hivyo, sisi bado hatujafika huko
 
Last edited by a moderator:
Sheria ya Ununuzi ya mwaka 2011 (Marekebisho) pamoja na mambo mengine inaruhusu ununuzi wa mali chakavu...... ni kwa jinsi gani tunajiandaa kupambana na matatizo kama haya ya ajali ?.......je, bunge letu lipo makini na linatekeleza wajibu wake ipasavyo?.........tutaangalia masuala ya enforcement ya sheria zetu baadaye, pamoja na nafasi yetu sisi kama wananchi wa kawaida ni vipi tunashiriki kama sehemu ya tatizo au suluhisho kwa mambo yanayofanana na haya ya ajali ya Mheshimiwa marehemu Regia(RIP).....tuendelee kujadili......
 

Dear Wayne !!!,

There's one thing that needs to be included in the equation. Majority of well do Tanzanians love high performance vehicles, V6 and above. They need them for prestige or sometimes for work. However, driving these sorts of vehicles in a very high speed in our existing road infrastructures is a very dangerous proposition.
 
dah...Dada Regia jamani...mnanikumbusha masikitiko tu
 
Una hakika?......mimi kila weekend napishana na Dr Mwinyi akiendesha gari lake binafsi.....mbona trafiki hawamkamati? wakati mwingine binadamu huhitaji privacy bila uwepo wa devera hata kama umuhimu upo.....sasa ufisadi unatoka wapi?
Kama unapishana nae akiendesha mwenyewe wakati yuko kwenye safari zake za binafsi ni sawa ila akiwa kikazi na katika kazi za kibunge anapaswa aendeshwe kwa sababu Wabunge wanalipwa pesa za kuwalipa madereva wao ni vile vile akiwa kkazi kama waziri anapaswa kuendeshwa na Dereva aliyeajiriwa kwa ajili hiyo. Kuna wakati mwingine makosa yanatendeka hebu kumbukeni Marehemu Mbatia alipoendeshwa na Dereva wake Binafsi wakati wa Wizara aliyeajiriwa akiiachwa na baadae kupata ajali kule Njombe na tumemkosa.
 
Tanzania tatizo letu ni kufanya kazi kwa mazoea na si utaalamu....ajali kama hii imetokea lakini hutakuta utafiti wa kisayansi ukifanyika...hata kama ukifanyika utafiti kama huo bado utekelezaji wake unakuwa ni tatizo kubwa sana....HAKUNA UWAJIBIKAJI wala ufuatiliaji wa mambo kwa kina!!
 
aahh sasa mlemavu alafu anagonga MANUAL?? hakuwa sirias huyo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…