N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe.
Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini kamera zitasaidia
Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini kamera zitasaidia