Ajali ya Mwendokasi Dar es salaam kule Posta inatukumbusha umuhimu wa Kamera za Mitaani kwenye Majiji

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe.

Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini kamera zitasaidia
 

Tarizo wanapokuwa na cha kuficha huwa hawakawii kuzing'oa
 
Ipo wapi video hiyo?
 

Hizo proposal za Smart cities wameshapewa sana tena sana na makampuni binafsi yenye hizo teknolojia...

Tatizo uduanzi wa serikali zetu za kiafrika, wanataka wapewe kama msaada...
 
Camera za area D makazi ya kina Lisu hakuna zilichosaidia mkuu.

Hatujafikia ustaarabu wa binadamu. Sisi tunatakiwa kuishi porini bado. Achana na mambo ya camera haya, sio pigo zetu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…