Ajali ya nguzo ya umeme Mugumu Mjini

Ajali ya nguzo ya umeme Mugumu Mjini

Edson Eagle

Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
30
Reaction score
12
Pichani ni tukio lililotokea Mugumu mjini baada ya nguzo ya umeme kudondoka nakuangukia pikipiki na pia imenoa kudondokea watu waliokuwa karibu yake.

Screenshot_20240802-180242.png
 
Pichani ni tukio lililotokea mgumu mjini baada ya nguzo ya umeme kudondoka nakuangukia pikipiki na pia imenoa kudondokea watu waliokuwa karibu yake...
View attachment 3059791
Uandishi wa hii habari unafikirisha kama kwenye mtihani wa English section ya comprehension au kwenye kiswahili ilikuwa wanasema Soma kifungu cha habari kisha jibu maswali yafuatayo😑
 
Back
Top Bottom