Tetesi: AJALI YA RELI YA TAZARA MLIMBA.

Tetesi: AJALI YA RELI YA TAZARA MLIMBA.

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
23,169
Reaction score
9,054
Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku!
Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar!
Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi.
Mwenye Taarifa Atufahamishe!
 
Bado inafanyakazi kumbe!
 
Watanganyika hadi 2030 tutaimba nyimbo zote!
Hakuna rangi ambayo hatutaiona na kuisikia.
 
Nasoma huu uzi huku nikipakia mizigo yangu inayotoka Kigoma kwenda Dar es salaam 😭😭
 
Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku!
Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar!
Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi.
Mwenye Taarifa Atufahamishe!
Nina jamaa ni dereva Tazara ngoja nisubirie awashe simu maana sijampata hewani
 
Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku!
Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar!
Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi.
Mwenye Taarifa Atufahamishe!
Kwani baada ya kukujulisha fyuzi ilikata! Yeye ndiye shahidi namba moja.
 
Back
Top Bottom