Ajali yaondoa Uhai wa Mwana hipHop "Shawty Lo"

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia Kwenu Wana JF,

Mwanamziki wa hip-hop Carlos walker aka Shawty Lo amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea ATL,Georgia,Usiku wa kuamkia jumatano.

Shawty Lo alikuwa akiendesha gari Audi ya Mwaka 2016 ilipoteza muelekeo na kugonga miti ya pembeni na kupinduka kisha kuungua,gari imearibika vibaya upande wa mbele na tyre ya nyuma ilichomoka na kuuingia kwenye buti.

Shawty Lo ndio aliyekuwa anayeunda kundi la D4L ambayo walitamba na kibao cha laffty taffy kilichotoka mwaka 2005.Kibao kilichompatia umaarufu ni "Dey know" ambacho alikitoa mwaka 2008.

Shawty Lo ameacha watoto 11.

Shawty Lo Enzi za Uhai wake.


Shawty Lo Akiwa na Wake zake(Waliosimama) na watoto.(waliokaa -Ke 8 ,Me-3)


Picha ya gari/ajali aliyopata.

Baadhi ya Kazi zake zilizompatia Umaarufu.(Dey Know)

Hapa Akishirikishwa na Soulja Boy-Gucci Bandana
 
"They know they ,know got white low low
Rob who? Take what? [gun cocks] hello
They know I give a https://jamii.app/JFUserGuide about them haters (nope)
"

Shawty Lo ft. Lil Wayne, Jeezy and Ludacris - Dey Know Remi.
 
Wewe si ****** uliyefukuzwa UDOM sasa utaonaje tatizo kwenye hiyo habari
Wewe kama habari uliipata ikiwa hot ni bora kwako..wengine hawajapata..ndo wanaipata kwa uzi huu....kuwa mstaarabu bwamdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…