Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Kaa chini wewe Kima,,, huna hojaWewe kama habari uliipata ikiwa hot ni bora kwako..wengine hawajapata..ndo wanaipata kwa uzi huu....kuwa mstaarabu bwamdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa chini wewe Kima,,, huna hojaWewe kama habari uliipata ikiwa hot ni bora kwako..wengine hawajapata..ndo wanaipata kwa uzi huu....kuwa mstaarabu bwamdogo.
Sawa Kima mwenzanguKaa chini wewe Kima,,, huna hoja
Umofia Kwenu Wana JF,
Mwanamziki wa hip-hop Carlos walker aka Shawty Lo amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea ATL,Georgia,Usiku wa kuamkia jumatano.
Shawty Lo alikuwa akiendesha gari Audi ya Mwaka 2016 ilipoteza muelekeo na kugonga miti ya pembeni na kupinduka kisha kuungua,gari imearibika vibaya upande wa mbele na tyre ya nyuma ilichomoka na kuuingia kwenye buti.
Shawty Lo ndio aliyekuwa anayeunda kundi la D4L ambayo walitamba na kibao cha laffty taffy kilichotoka mwaka 2005.Kibao kilichompatia umaarufu ni "Dey know" ambacho alikitoa mwaka 2008.
Shawty Lo ameacha watoto 11.
Shawty Lo Enzi za Uhai wake.
View attachment 410875
Shawty Lo Akiwa na Wake zake(Waliosimama) na watoto.(waliokaa -Ke 8 ,Me-3)
View attachment 410877
Picha ya gari/ajali aliyopata.
View attachment 410878
Baadhi ya Kazi zake zilizompatia Umaarufu.(Dey Know)
Hapa Akishirikishwa na Soulja Boy-Gucci Bandana
Una wake wangapi?? Wa mkoani[emoji3] [emoji23]Kw hiyo jamaa alikuwa anawake nane? Huyu ndio mwanaume.
Unakuwa na wake wengi na wote wanaridhika na wewe!
Wanaume wa Dar Mwanamke mmoja tu anamtoa nduki.