Mapendekezo yangu barabara ziboreshwe, vyombo vya usafiri vikaguliwe mara kwa mara na mwisho madereva waongeze umakini wanapokuwa wanaendesha magari.Weka mapendekezo yako mkuu.
Wanataka Waendelee kuchukua rushwamabandiko haya yooote ya polisi wanalazimisha kurudishwa barabarani, kana kwamba kabla ya wao kupunguzwa huko road ajali zilikua hazipo, shame on them tafuteni kazi nyingine hela mlizokua mnajichukulia za rushwa sasa baaaasi Kinanan JUUUUUUUU, inawezekanaje umbali kama Dar Morogoro mtu unatumia masaa 6 ni maendeleo gani hayo mnataka