Ajali za treni duniani. SGR, tumejitayarishakuelimisha matumizi ya makutano ?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Tunategemea kuwa reli yetu inayojengwa , SGR, itakuwa ya kisasa na yenye spidi kali.
Spidi zinazotazamiwa ni hadi 160km/hr.
Hii ni spidi kali sana kwa mwendo wa ardhini.

Kwa vile kutakuwa na makutano(Railway crossings) nyingi sana kati ya njia za treni hiyo na barabara, tumejitayarisha kivipi kielimu ili kuondoa dhahama ya ajali zinazoweza kuwa mbaya sana.
Wananchi waanze kupewa elimu.
 
Ramani ya treni zetu ni za mjerumani treni zinapita kwa juu usiwaze mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…