Kila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. π Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama barabarani fanyeni kazi kwa weledi ajali zinaepukika.
Tuwe makini barabarani:
π Epuka mwendo kasi.
π΅ Usitumie simu ukiendesha.
πΊ Usiongoze gari ukiwa umelewa.
π¦ Heshimu alama na sheria za barabarani.
π΅ Wapanda pikipiki na abiria watumie helmeti.
π Madereva wapumzike wanapochoka.
Dakika chache za uzembe zinaweza kubadilisha maisha ya familia nzima. Kuna watoto wanateseka siku ya leo kwa kuondokewa na wazazi/mzazi sababu ya ajali.
π Tanzania salama inaanza na mimi na wewe. Tuendeshe kwa tahadhari, tuokoe maisha.
Hilo la abiria wa boda boda kuvaa hement 'halizungumziki'.Kila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. π Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama barabarani fanyeni kazi kwa weledi ajali zinaepukika.
Tuwe makini barabarani:
π Epuka mwendo kasi.
π΅ Usitumie simu ukiendesha.
πΊ Usiongoze gari ukiwa umelewa.
π¦ Heshimu alama na sheria za barabarani.
π΅ Wapanda pikipiki na abiria watumie helmeti.
π Madereva wapumzike wanapochoka.
Dakika chache za uzembe zinaweza kubadilisha maisha ya familia nzima. Kuna watoto wanateseka siku ya leo kwa kuondokewa na wazazi/mzazi sababu ya ajali.
π Tanzania salama inaanza na mimi na wewe. Tuendeshe kwa tahadhari, tuokoe maisha.
Pole mkuu bahati mbaya sijawahi kufika UK ila walimu wangu kama watatu walikua wanatoka Huko..Fixed penalty hio Β£100 na point 3 ni zile speeding za kawaida. Mimi nilipia motorway wakati ina bango la ujenzi speed limit iliwekwa 40MPH nilipita na 90MPH nilikula ban miezi 6 na faini Β£300! Ninachojaribu kukufahamisha kuna mwendo wa ngiri ukikamatwa unakula point,ban na faini. Ukisababisha ajali unaweza kwenda jela kabisa. Speeding imenipa ban mara mbili akili ikanikaa sawa maana mara ya mwisho nilipoteza na kazi.
Hao watu wana miundombinu mizuru,magari bora na hawataki upumbavu barabarani. Maisha ya kila mtu yanathaminiwa.Pole mkuu bahati mbaya sijawahi kufika UK ila walimu wangu kama watatu walikua wanatoka Huko..
Mimi sipendi ku drive kabisa sababu nilikua addicted wa Racing simulator,so nikiendesha a real car speed 80 naona kama nakuna nazi,.na vile naogopa kufa now napenda kukaa pembeni niendeshwe..drive with care
System ikiwa corrupt hakuna mahala kutakua na nafuu,barabara mbovu,magari used hadi model ya mwaka 1995 yanakua imported yanauzwa,mafundi ndio wa kina maiko,barabara imejaa vijana wanyoa viduku bodaboda,bajaji hao hawajali green light au red-light,wana overtake popote..Hao watu wana miundombinu mizuru,magari bora na hawataki upumbavu barabarani. Maisha ya kila mtu yanathaminiwa.
Binti Kiziwi mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu kwa miaka mingi? π€Hakikisha anada*** maana hamna kesi π€£
Subaru yako ikiharibika njoo chukua yangu mateπ€¦π»ββοΈ
Ajali Tanzania zimekua suala sugu sana huu mwaka tu moyo umetoboka mara mbili kwa kuwapoteza wapendwa wangu hakuna tena imani ya kwenda na kurudi salama no matter upo makini kiasi gani,yaani usipogongwa umegongaπ¨