Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647

<br / ndoa ni mpango wa MUNGU.Aliyesema majnga yakitokea kila kitu kinasimama?kuna watu jana wamefunga ndoa wakacelebratrete kama kawa..sasa mbona hilo amlizungumzii?Nawenyewe wangehairisha basi..

<br / WAWALAUMU CCM ambacho ndo kinamiliki dola hk zanzibar KWA KUWADHARAU WAFIWA KWA KUZINDUA KAMPENI KWA SHANGWE NA VIGELEGELE HK IGUNGA.Kuna sms zinatumwa na watu Unguja, Pemba na baadhi ya watu Dar kuwa Vodacom wamekuwa insensitive kufanya MISS TANZANIA on the same day Tanzania imekumbwa na janga zito.

I think kwenye hili MWAMVITA MAKAMBA amechemsha na sijui Voda watafanya nini kujitetea

Kutoa misaada haisaidii watu
Hii ni PR disaster,sponsoring an event,associating ur name with something,while the nation mourns is just a no brainerkama kuna mtu alifkiri Mwamvita ana akili hivyo sasa leo mmethibitishiwa how overrated she is
mimi siku zote nilikuwa nasema yule ni opportunist tuu
Kuonyesha picha za CCM hakuwezi KUJUSTIFY a sense of INHUMANE ambayo VODACOM wameonyesha kwa kuendelea na shindano la UREMBO kukiwa na MSIBA mkubwa nchini, inawezekana baadhi ya wazanzibar hawakubaliana na muungano, hayo ni maoni yao lakini legally Zanzibar is part of Tanzania. Yes Vodacom are the main sponsor of the EVENT and their Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs.
MWAMVITA MAKAMBA of which the Corporate Social Responsibility (Vodacom Foundation) is under her custodian was there smilling as if nothing happened and few hours
/days later she will be in Zanzibar presenting gift to victims of the accident....SHAME ON YOU VODACOM
In this world of cut throat competition,the buck stops with vodacom,anywhere else the uproar would have been massive-financally motivated parading semi naked females while a nation mourns departed soulsVODACOM ndiye mdhamini mkuu na Mkuu wa masuala ya misaada ya Kijamii Mwamvita Makamba alikuwepo jukwaani, hawawezi kwepa lawama hizi they/you know this better...Being a main sponsor moja kwa moja unajivika FULL RESPONSIBILITY za kuwajibika na hiyo shughuli...
Kwa mtazamo wako hakutakiwa kuwepo?kama waandaaji wangehahirisha alafu yeye akawepo angebeba lawama but kwa sababu waandaaji hawakuhahirisha na serikali haikutoa order ya kusimamimamisha shughuli ile ya ulinzi wa polisi ulikuwepo unaanzaje kumlaumu mdhamini?Tusikurupuke kudakia topic za wanaotafuta umaarufuVODACOM ndiye mdhamini mkuu na Mkuu wa masuala ya misaada ya Kijamii Mwamvita Makamba alikuwepo jukwaani, hawawezi kwepa lawama hizi they/you know this better...Being a main sponsor moja kwa moja unajivika FULL RESPONSIBILITY za kuwajibika na hiyo shughuli...
VODACOM ndiye mdhamini mkuu na Mkuu wa masuala ya misaada ya Kijamii Mwamvita Makamba alikuwepo jukwaani, hawawezi kwepa lawama hizi they/you know this better...Being a main sponsor moja kwa moja unajivika FULL RESPONSIBILITY za kuwajibika na hiyo shughuli...
sitoshangaa kuskia VODACOM kutoa 10 million shilling kujaribu kutatua hiii disaster
hili ni tatizo la kimfumo ambalo limekuwa rooted sio tuu kwenye serikali bali pia kwenye private sector. kama sponsor vodacom walikuwa kwenye wakati mgumu lakini as champion of "corporate social responsibility" this was their defining moment. labda nani alikuwa na maamuzi ya mwisho ya miss tanzania kuendelea? Ni waandaji au sponsors or both? Kama alikuwa ni mwaandaji vodacom wangeweza kukataa kuendelea ku sponsor hiyo shughuli? Mkataba wao wa sponsorship unasema kunapotokea janga kama hili?
Serikali ilitangaza janga la kitaifa baada ya zaidi ya masaa 15 ya ajali kutokea. Ccm iliendelea na ufunguzi wa kampeni zake as nothing happened. Vyombo vyetu vya habari navyo kama vile vili underrate hili janga. Haya yote yamechangia sana. Hata hivo kwa kampuni inayojitangaza yenyewe kama champion of corporate social responsibility wangetakiwa wafanye maamuzi magumu hapa. What and why did they decide to go ahead with sponsoring the event? Cha maana ni vodacom kutoa statement kuwaleleza wateja na umma kwa ujumla about their decision. Kabla hili linabidi lifanywe kabla hawajaendea huko zanzibar with their so called "corporate social responsibility
kulaumu voda pekee si sahihi kwani kuna idara za serikali ziliwakilishwa pale... pia kumtaja Mwamvita ni ufupi wa fikra, she was just responding to her company's call.
Kama ni lawama basi ziende kwa wadhamini wote na sio voda
NA KAMA TUNATAFUTA TU PA KULAUMU BASI TULAUMU CCM WALIOZINDUA KAMPENI WATAKI TUNA JANGA LA KITAIFA