Kwanini msimlaumu the majority share holder wa Vodacom kwanza??
Iwapo, one call imeweza kumrudisha Mh. Kikwete nyumbani na kukatisha ziara.
One call from Ikulu kusimamisha ufunguzi wa kampeni pia ingelitosha!
Likewise, one call from Ikulu kusimamisha shughuli za urembo ingelitosha.
Ni mara ngapi tumeona matangazo yakikatishwa TBC kwa kupokea simu toka Ikulu au Usalama??
Ila "huyu ni mwenzetu" na ulegelege ni mwingi!!!
Pumba 2pu mnao laumu voda ki2 kshatokea na wa2 wameshazkwa 2mewasahau hzo lawama mnataka kuchochea ugomv 2!voda itaendelea kupga kaz kama kawa KAZÍ NI KWAKO 2.mana a2hemi kila saa voda voda voda jaman khaa
Kuna sms zinatumwa na watu Unguja, Pemba na baadhi ya watu Dar kuwa Vodacom wamekuwa insensitive kufanya MISS TANZANIA on the same day Tanzania imekumbwa na janga zito.
I think kwenye hili MWAMVITA MAKAMBA amechemsha na sijui Voda watafanya nini kujitetea
Kutoa misaada haisaidii watu
Kwani toka lini uliona Tanzania wanaungana kugomea kitu,naona hizo sms ni sawa na kuzidi kunufaisha hayo makampuni ya simu(kumbuka yanakwepa kulipa ushuru)Kuna sms zinatumwa na watu Unguja, Pemba na baadhi ya watu Dar kuwa Vodacom wamekuwa insensitive kufanya MISS TANZANIA on the same day Tanzania imekumbwa na janga zito.
I think kwenye hili MWAMVITA MAKAMBA amechemsha na sijui Voda watafanya nini kujitetea
Kutoa misaada haisaidii watu
Ni uendawazimu na unafiki wa hali ya juu kulaumu VODACOM PEKEE NA KUONA CCM WALICHOFANYA NI HALALI. Ifikie hatua either ukae kimya au uwalaumu wote CCM na VODA, na voda sio waandaaji, which means ambacho wangeweza kufanya ni kuukana udhamini tu na LUNDENGA mwana CCM angeendelea na shuguli yake.Kuonyesha picha za CCM hakuwezi KUJUSTIFY a sense of INHUMANE ambayo VODACOM wameonyesha kwa kuendelea na shindano la UREMBO kukiwa na MSIBA mkubwa nchini, inawezekana baadhi ya wazanzibar hawakubaliana na muungano, hayo ni maoni yao lakini legally Zanzibar is part of Tanzania. Yes Vodacom are the main sponsor of the EVENT and their Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs.
MWAMVITA MAKAMBA of which the Corporate Social Responsibility (Vodacom Foundation) is under her custodian was there smilling as if nothing happened and few hours/days later she will be in Zanzibar presenting gift to victims of the accident....SHAME ON YOU VODACOM
Wekeni na BOYCOTT CCM campain pia kwa kuzindua kampeni siku ya msiba...
Wekeni na BOYCOTT CCM campain pia kwa kuzindua kampeni siku ya msiba...
KAZI NI KWAKO, mi naeenda kumtumia mtu mkwanja kwa Mpesa MAN sasa hivi,,,
Huenda kuna wahanga wametumiwa hela za sanda kwa MPESA MAN, sema tu mnataka prommo kwa ZANTEL yenu...
Acheni chuki za kidini na kikabila huko Zanzibar.
Ukweli hili suala lina utata!! Ila kwa desturi na tamaduni zetu wabongo, walipaswa kucancell! maana ni msimba wa kitaifa!

Mkuu kunaweza kuwa na sababu nyingi tuu. Mojawapo Vodacom ni kampuni kubwa na maarufu sana Tanzania, so watu wanafikiri it should lead by examples. Nafikiri kati ya hao sponsors watano, Vodacom ilikuwa ndio kampuni kubwa. Sababu nyingine Vodacom imekuwa sana mstari wa mbele ku champion corporate social responsibility. Kwa sababu hii tuu yenyewe watu wengi wanadhani Vodacom ingekuwa mstari wa mbele kama walivyokuwa kwenye mabomu ya gongo la mboto. Kumbuka hii coporate social responsibility ni mojawapo ya sababu inayoifanya vodacom kulipa kodi ndogo zaidi ya Airtel japokuwa vodacom ina wateja wengi zaidi ya Airtel. Watu wanauliza where was vodacom corporate social responsibility kwenye hili janga?

Wapo wengine wanasema Vodacom haina wateja wengi Zanzibar ndio sababu waliamua kuendelea na Miss Tanzania. Sidhani hata vodacom wataikubali hii sababu b'se kibiashara haijakaa vizuri. Vipi kama janga lilikuwa limetokea Tanzania bara? Unafikiri haya mashandano yangeendelea? This event was not Miss Tanzania Mainland. It was Miss Tanzania. Kama alivyosema Mh Zitto hili janga lime test umoja na utu wetu. Kwa hili janga tumejua umoja, ushirikiano na utu wetu upo wapi.

Ku sponsor tuu Miss Tanzania itself ni corporate social responsibility. Pia kwa kampuni kusaidia watu watu waliokubwa na janga ni part ya corporate social responsibility. Na haya mambo yanapotokea kwa wakati mmoja inaweza kuwa ngumu ku make a right decision. But as a company, you will have to make a bold decision. Na katika maamuzi ya kampuni lazima itake into account its business interests presently and in future.

Lakini kama nilivyosema kwenye post yangu ya nyuma, this is problem rooted in our society. Kumbuka jana kulikuwa sio tuu na Miss Tanzania. Kulikuwa pia na ufunguzi wa kampeni za kisiasa huko Igunga. Kulikuwa pia na michezo ya mbalimbali. Tunachukulia issues very lightly. All go down kuwa kama serikali ingekuwa imetoa tamko tokea mapema haya yasingetokea. Hata hivyo vyombo vya habari hasa vya bara vimechangia sana haya kutokea. Nilishangaa Zanzibar disaster was trending worldwide on Twitter lakini kwenye vyombo vyetu vya habari vya ndani ilikuwa kama halikuwa janga kubwa.
Acheni ushabiki wa kiwivu na kijinga, mbona hamzungumzii chama tawala kutoahirisha uzinduzi wa kampeni zao huko Igunga. Voda wako kwenye business, afterall that is not their target market as the area is dominated by Zantel subscribers.