Ajali

Nish

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
730
Reaction score
114
Gari aina ya noah iliacha njia na kuingia porini lakini hakuna mtu aliepoteza maisha wakaja trafik na mahojiano na konda yakawa hivi trafik- "gari ilikuwa na abiria wangapi?" konda- "watu watano na wamasai watatu"
 
Bila shaka ilikuwa inatoka Arusha inaelekea Namanga
Siku hizi hadi Bukoba kuna wamasai ndo ushangae wamefikaje hiko....
Nilienda pemba nikawakuta wamasai nikajiuliza wamefikaje nikaamua kukaa kimya tu maana hataBK niliawakuta
so hapa paweza kuwa ni Mtwara au Kigoma
 
ila wao wanatutenga sana wanatuita "ormeki"
Lazma mtengwe kwa kuwa bado hamjaamka sana...ila walau siku hizi mmekuwa na usafi na elimu kiasi.....si kama zamani
 
Lazma mtengwe kwa kuwa bado hamjaamka sana...ila walau siku hizi mmekuwa na usafi na elimu kiasi.....si kama zamani

Angalia usije ukawa na ww "ormeki"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…