Ajari ya Roli la Kampuni ya Akamiko huko Congo.

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Kuna Ajari Mbaya imetokea Jana huko Congo, nje kidogo ya Lubumbashi, township Ndogo inaitwa Likasi.

Kuna rafiki yangu Mcongo Man anaishi hapo Likasi, na vile Roli lilikua linaendeshwa na Dereva Mtanzania, huyu Rafiki yangu akaona anipe taarifa ili nijaribu kuwahabarisha pia.

Kuna picha ambazo sio nzuri.

 

Attachments

  • Screenshot_20250123-143200.jpg
    542.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250123-143200.jpg
    542.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250123-143152.jpg
    504.1 KB · Views: 2
Hicho Kiswahili mlijifunza wapi? Maana mnaharibu kabisa lugha.
Sio "Ajari" Ni Ajali.
Sio "Roli"ni Lori. Poleni mliofikwa na ajali.

Sio vizuri rafiki,umeamua kuona mabaya badala ya mema.
Kiswahili kipo tu,Wala huhitaji kukitetea kwenye Habari mbaya kama hii.
 
So sad daah rest in peace wapambanaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…