Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ingekuwa ni Simba ugenini bila kupigwa 5 huwa hawajisikii raha kabisa.Totenham wamepindua meza ugenini kwa magoli matatu ya Lucas Moura dk (56 , 59 , 96 ) , hii ni baada ya kuwa nyuma kwa bao 2 hadi dk ya 35
Kila la heri timu za EPL
Mlikuwa mnataka Ajax akutane na Barcelona naona maombi yenu yametimiaUEFA so ngoma ya kitoto Ajax wangeenda extra time wangefungwa nyingiii sanaaaa
Hiyo Sumba itakua inashiriki ligi daraja la 3 AlbaniaIngekuwa ni Sumba ugenini bila kupigwa 5 huwa hawajisikii raha kabisa.
Kabisa !......
......London IMEZIZIMA
Kesho msako kabambe waliomteka MDUDE
Jamaa walichoka sana...hao makinda hawajazoea kufukuzana na kupigana ngumi na timu kama stoke city...tottenham kazoea hzo ruggby, kwake yeye ni mpera mpera hata dk 120 mnaenda fresh tu,madogo wa ajax walianza kutema ulimi mapema tuu 😁😁😁😁😁UEFA so ngoma ya kitoto Ajax wangeenda extra time wangefungwa nyingiii sanaaaa
Jamaa walichoka sana...hao makinda hawajazoea kufukuzana na kupigana ngumi na timu kama stoke city...tottenham kazoea hzo ruggby, kwake yeye ni mpera mpera hata dk 120 mnaenda fresh tu,madogo wa ajax walianza kutema ulimi mapema tuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni Bora angekutana na Barca si Liverpool..... Kama tot kamuhemesha vile asingeweza mapambano na watu wazima was liver brooMlikuwa mnataka Ajax akutane na Barcelona naona maombi yenu yametimia
Third placeNi Bora angekutana na Barca si Liverpool..... Kama tot kamuhemesha vile asingeweza mapambano na watu wazima was liver broo
Saga chupa unywe, ufe, upumzike kuliko kuteseka sana rohoni mwako...[emoji87][emoji125]Fainali uefa 2019 ishaharibika!
DuuuuThird place
mnazi wa LA LIGA IMEHARIBIKA KWA KIYU GANI AL QUEEDA WAMELIPUA UWANJA!!??Fainali uefa 2019 ishaharibika!