Ajax 2 - 3 Totenham

Ajax 2 - 3 Totenham

UEFA so ngoma ya kitoto Ajax wangeenda extra time wangefungwa nyingiii sanaaaa
Jamaa walichoka sana...hao makinda hawajazoea kufukuzana na kupigana ngumi na timu kama stoke city...tottenham kazoea hzo ruggby, kwake yeye ni mpera mpera hata dk 120 mnaenda fresh tu,madogo wa ajax walianza kutema ulimi mapema tuu 😁😁😁😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wamesachiwa sana..ulimi wote njee, vitoto vidogo tu vinasumbua wazee...ngoja msimu ujao uanze, watakua kama Monaco ilivyopukutika
Jamaa walichoka sana...hao makinda hawajazoea kufukuzana na kupigana ngumi na timu kama stoke city...tottenham kazoea hzo ruggby, kwake yeye ni mpera mpera hata dk 120 mnaenda fresh tu,madogo wa ajax walianza kutema ulimi mapema tuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mlikuwa mnataka Ajax akutane na Barcelona naona maombi yenu yametimia
Ni Bora angekutana na Barca si Liverpool..... Kama tot kamuhemesha vile asingeweza mapambano na watu wazima was liver broo
 
Timu za Kiengereza ni wachawi aisee, Haiwezekani kabisa matimu ya Ovyo kushinda kama vile halafu kwenye mazingira ya utata utata
 
Back
Top Bottom