technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
4 tayariJamaa wakiwa away wanapiga mwingi mno ila wakiwa home wanafungwa wana siri gani gemu za awai? mpaka sasa Chelsea kavunjiwa dalaja kashapigwa 3 nyumbani awa jamaa inawezekana ni zaidi ya tuwajuavyo kila kitu wanaongoza na wako on fire wana siri gani na away game?
[emoji1787][emoji1787]mtoa mada acha tabia za kike mcheza vigodoro, ungesubiri game liishe ndo ungeleta hizi pumba.
mods pelekeni huu upuuzi jukwaa la jokes
mtoa mada acha tabia za kike mcheza vigodoro, ungesubiri game liishe ndo ungeleta hizi pumba.
mods pelekeni huu upuuzi jukwaa la jokes
Huo ndo mpira Nani aliwaambia wacheze rafu za ovyo ovyo?real Madrid msimu Huu alishinda goal 3 kwa moja akiwa pungufu Tena red kadi wamepata dakika ya 20 tu ya first half wakiwa nyuma ya goal 1 the end of the match wakashinda goal 3 kosa la Ajax ni kufunguka badala ya kupaki bus.2 red cards more than 3 penalties kwenye gem moja matokeo 4-4 kuna nini hapo