Ajax Wana nini cha ziada?

Ajax Wana nini cha ziada?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Jamaa wakiwa away wanapiga mwingi mno ila wakiwa home wanafungwa wana siri gani gemu za awai? mpaka sasa Chelsea kavunjiwa dalaja kashapigwa 3 nyumbani awa jamaa inawezekana ni zaidi ya tuwajuavyo kila kitu wanaongoza na wako on fire wana siri gani na away game?
 
4 tayari
 
mtoa mada acha tabia za kike mcheza vigodoro, ungesubiri game liishe ndo ungeleta hizi pumba.

mods pelekeni huu upuuzi jukwaa la jokes
 
2204494_FB_IMG_15729938445931147.jpeg
 
mtoa mada acha tabia za kike mcheza vigodoro, ungesubiri game liishe ndo ungeleta hizi pumba.

mods pelekeni huu upuuzi jukwaa la jokes

Unamtukana bure mtoa mada kuifunga Chelsea bao 4 away si kitu kidogo Ajax wapo vizuri sana ! Kumbuka hatua waliyofikia last season
 
2 red cards more than 3 penalties kwenye gem moja matokeo 4-4 kuna nini hapo
 
2 red cards more than 3 penalties kwenye gem moja matokeo 4-4 kuna nini hapo
Huo ndo mpira Nani aliwaambia wacheze rafu za ovyo ovyo?real Madrid msimu Huu alishinda goal 3 kwa moja akiwa pungufu Tena red kadi wamepata dakika ya 20 tu ya first half wakiwa nyuma ya goal 1 the end of the match wakashinda goal 3 kosa la Ajax ni kufunguka badala ya kupaki bus.
 
Back
Top Bottom