Ajenda za Mkutano Mkuu wa dharula wa Yanga Terehe 23.10.2016

Ajenda za Mkutano Mkuu wa dharula wa Yanga Terehe 23.10.2016

lil wayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
992
Reaction score
904
1. Sala na utambulisho wa wageni waalikwa:

1.1. Sala ya wakristo ya kubariki kikao.

1.2. Sala ya waislamu ya kubariki kikao.

1.3. Utambulisho wa wageni waalikwa waliohudhuria, pia wenye udhuru – waziri wa michezo na sanaa; mwenyekiti wa baraza la michezo (bmt), mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu dar-es-salaam (drfa) na rais wa shirikisho la mpira wa miguu tanzania (tff).

2. Kufungua kikao.

3. Kupitia dondoo za kikao kilichopita cha mkutano wa wanachama na kuidhinisha.

4. Kuthibitisha wajumbe wa bodi ya wadhamini na kumpumzisha mjumbe mmoja na kuongezamjumbe mwinginekwenye baraza la wadhamini. Mwenyekiti kuomba ridhaa ya kumteua mjumbe mmoja bila ya kuitisha mkutano mkuu kupunguza gharama kwaklabu.

5. Kupitia na kujadill muhtasari ya makubaliano ya bodi ya wadhamini kulingana na maagizo ya wanachamakukodisha timu ya yanga na nembo ya yanga kwa kipindi cha miaka kumi/ na kupata maamuzi kupitia kura za wanachama.

6. Kujadili mweyekiti abaki kama mwenyekiti au kulingana na maslahi yake kwenye kampuni, kama italeta mgongano katikampuni yake inayokodisha timu ya yanga na nembo ya yanga kwa kipindi cha miaka kumi ili kupata maamuzi kupitia kura za wanachama.

7. Kurudia kupitia marekebisho ya katiba iliyoagizwa na wanachama kupitia vikao vyao mbalimbali na baadhi kukataliwa natff, baadhi hazijasajiliwa kazi na bmt na baadhi rita wamezikalia bila kuzifanyia kazi kwa sababu zisizojulikana. Kupata msimamo wa wanachama kwa kuzingatia katiba ya yanga inayosema mikutano ya wanachama ndio yenye mamlaka ya mwisho ilimradi tu maamuzi hayo yaangukie ndani ya sheria za nchi. Na si sahihi vyombo hivyo kuingiliaa maamuzi halali ya wanachama.

8. Kupitia utendaji wa kamati ya mashindano, ratiba ya ligi kuu bara, adhabu ya yanga kutoka wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo ambayo ilisababishwa na fujo za mashabiki wa simba.

9. Kupata maamuzi juu ya wanachama ambao hawafiki katika mikutano badala yake wanakuwa wasemaji wa yanga bila kuwa na mamlaka hayo na kuleta uchonganishi wa wazi ndani ya klabu, kupotsoha jamii nakuchafua majina ya viongozi wa klabu.

10. Tarehe ya uchaguzi mdogo kujazia nafasi zilizo wazi na kupata mwongozowakutumia katiba ipi kati ya 2010 au 2014.PAMOJANA Masahihisho baada ya 2014, au bila ya masahihisho ya 2014 yaliyoamuliwa na wanachama.

11. Hotuba ya mwenyekiti –maoni na msimamo wake juu ya maazimio ya wanachamakwenye kikao; kusema anayoyajua ya siri kuhusu yanga na adui wa yanga na kufafanua wanaoleta vurugu yanga, baadhi ni mamluki wa wafanyabiashara wenzake walioshindwa kumshinda kwa njia halali na sasa wanaitumia yanga kama sehemu pekee iliyobaki kumuumiza kupitia mbinu zinazotumika hasa kwa kuleta vurugu ndani ya yanga ili kumchafua yeye binafsi, kufanya kwao hivyo ni kushusha hadhi ya klabu na maoni yake kwa maslahi ya yanga, kipi kifanyike.

12. Mengeniyo.

13. Sala.

13.1. Sala ya waislamu ya kubariki maamuzi ya mkutano.

13.2. Sala ya wakristo kubariki maamuzi ya mkutano.

14. Kufunga mkutano.
 
Huo mkutano lazima utoke home na shuka kabisa.agenda hizo mpaka ziishe ni siku mbili full kukesha.
 
AJENDA ZA MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA TAREHE 23 OKTOBA, 2016 KWENYE UWANJA WA KAUNDA.
  1. 1. Sala na Utambulisho WA WAGENI WAALIKWA:
  1. 1.1. Sala ya Wakristo ya Kubariki Kikao.
  1. 1.2. Sala ya Waislamu ya Kubariki Kikao.
  1. 1.3. Utambulisho wa wageni waalikwa waliohudhuria, pia wenye udhuru – Waziri wa Michezo na Sanaa; Mwenyekiti wa Baraza la Michezo (BMT), Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira wa Miguu Dar-Es-Salaam (DRFA) na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
  1. 2. KUFUNGUA KIKAO.
  1. 3. Kupitia dondoo za kikao kilichopita cha MKUTANO WA WANACHAMA NA KUIDHINISHA.
  1. 4. Kuthibitisha wajumbe wa bodi ya wadhamini na kuMpuMzisha mjumbe mMoja NA kuongeza mjumbe mwinginE KWENYE BARAZA LA WADHAMINI. MWENYEKITI KUOMBA RIDHAA YA KUMTEUA mjumbe mmoja bila ya kuitisha Mkutano mkuu KUPUNGUZA GHARAMA kwa KLABU.
  1. 5. Kupitia na kujadilI muhtasari ya makubaliano ya bodi ya wadhamini kulingana na maagizo ya Wanachama kuKodisha Timu ya Yanga na nembo ya Yanga kwa KIPINDI CHA mIaka kumi/ na kupata maAmuzi kupitia kura Za Wanachama.
  1. 6. Kujadili Mweyekiti abaki kama mWenyekiti au kUlingana na maslaHI yake kwenye KAMPUNi, kama italeta mGONGANO kati KAMPUNI YAKE inayokodisha Timu ya Yanga na nembo ya Yanga kwa KIPINDI CHA mIaka kumi ILI kupata mAamuzi kupitia kura za Wanachama.
  1. 7. KURUDIA Kupitia marekebisho ya Katiba iliyoagizWa na Wanachama KUPITIA VIKAO VYAO MBALIMBALI na BAADHI kukataliwa na TFF, BAADHI HAZIJASAJILIWA KAZI NA BMT NA BAADHI RITA WAMEZIKALIA BILA KUZIFANYIA KAZI KWA SABABU ZISIZOJULIKANA. KUPATA MSIMAMO WA WANACHAMA KWA KUZINGATIA KATIBA YA YANGA INAYOSEMA mikutano ya wanachama ndio yenye mamlaka ya mwisho ilimradi tu maamuzi hayo yaangukie ndani ya sheria za nchi. na si saHiHI VYOMBO HIVYO kuingiLIA maamuzi halali ya wanachama.
  1. 8. Kupitia Utendaji wa Kamati ya Mashindano, Ratiba ya ligi Kuu Bara, adhabu ya Yanga kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, SANAA na Michezo ambayo ilisababishwa na fujo za MASHABIKI WA Simba.
  1. 9. KUPATA Maamuzi juu ya wanachama ambao hawafiki katika mikutano badala yake wanakuwa wasemaji wa Yanga bila kuwa na mamlaka hayo na kuleta uchongANISHI wa wazi ndani ya KLABU, kupotsoha Jamii NA kuchafua majina ya Viongozi WA Klabu.
  1. 10. TAREHE YA UCHAGUZI MDOGO KUJAZIA NAFASI ZILIZO WAZI NA KUPATA MWONGOZO WA KUTUMIA KATIBA IPI KATI YA 2010 AU 2014. PAMOJA NA MASAHIHISHO BAADA YA 2014, AU BILA YA MASAHIHISHO YA 2014 YALIYOAMULIWA NA WANACHAMA.

  1. 11. HOTUBA YA MWENYEKITI – MAONI NA MSIMAMO WAKE JUU YA MAAZIMIO YA WANACHAMA KWENYE KIKAO; KUSEMA ANAYOYAJUA YA SIRI KUHUSU YANGA NA ADUI WA YANGA NA KUFAFANUA WANAOLETA VURUGU YANGA, BAADHI NI MAMLUKI WA WAFANYABIASHARA WENZAKE WALIOSHINDWA KUMSHINDA KWA NJIA HALALI NA SASA WANAITUMIA YANGA KAMA SEHEMU PEKEE ILIYOBAKI KUMUUMIZA KUPITIA MBINU ZINAZOTUMIKA HASA KWA KULETA VURUGU NDANI YA YANGA ILI KUMCHAFUA YEYE BINAFSI, KUFANYA KWAO HIVYO NI KUSHUSHA HADHI YA KLABU NA MAONI YAKE KWA MASLAHI YA YANGA, KIPI KIFANYIKE.
  1. 12. MENGENIYO.
  1. 13. SALA.
  1. 13.1. Sala ya Waislamu ya Kubariki Maamuzi ya Mkutano.
  1. 13.2. Sala ya Wakristo Kubariki Maamuzi ya Mkutano.
  1. 14. KUFUNGA MKUTANO.

16Oct2016
 
1476653660673.jpg
[emoji350] [emoji350] [emoji350][emoji350] [emoji350] [emoji350]
 
hivi hizi ni agenda za mkutano au ni maamuzi yanayopendekezwa??

mbona tayari msimamo wa Kanjubahi umeshaonekana live kupitia hicho kinachoitwa agenda?? yaani tayari agenda zimejadiliwa kabla ya kufikishwa kwa wanachama??


hivi zimeandaliwa na mtu anayejiita katibu wa Yanga au ni mburula mmoja hivi??
 
Halafu eti kuna agenda ya kujadili adhabu tuliyopewa na serikali kutokana na vurugu zilizofanywa na Simba!!! pathetic !! kwani Yanga haikufanya vurugu??? kwani magate yalivunjwa na nani?? au kwenu nyie huo sio uharibifu au sio vurugu???

Tafadhali serikali simamieni maamuzi yenu hawa wahuni wote wa Simba na Yanga wakatafute viwanja vyao wasituharibie miundo mbinu yetu....fukuza wote!!
 
1. SALA NA UTAMBULISHO WA WAGENI WAALIKWA:
1.1. Sala ya Wakristo ya Kubariki Kikao.
1.2. Sala ya Waislamu ya Kubariki Kikao.
1.3. Utambulisho wa wageni waalikwa waliohudhuria, pia wenye udhuru – Waziri wa Michezo na Sanaa; Mwenyekiti wa Baraza la Michezo (BMT), Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira wa Miguu Dar-Es-Salaam (DRFA) na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
2. KUFUNGUA KIKAO.
3. KUPITIA DONDOO ZA KIKAO KILICHOPITA CHA MKUTANO WA WANACHAMA NA KUIDHINISHA.
4. KUTHIBITISHA WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI NA KUMPUMZISHA MJUMBE MMOJA NA KUONGEZAMJUMBE MWINGINEKWENYE BARAZA LA WADHAMINI. MWENYEKITI KUOMBA RIDHAA YA KUMTEUA MJUMBE MMOJA BILA YA KUITISHA MKUTANO MKUU KUPUNGUZA GHARAMA KWAKLABU.
5. KUPITIA NA KUJADILL MUHTASARI YA MAKUBALIANO YA BODI YA WADHAMINI KULINGANA NA MAAGIZO YA WANACHAMAKUKODISHA TIMU YA YANGA NA NEMBO YA YANGA KWA KIPINDI CHA MIAKA KUMI/ NA KUPATA MAAMUZI KUPITIA KURA ZA WANACHAMA.
6. KUJADILI MWEYEKITI ABAKI KAMA MWENYEKITI AU KULINGANA NA MASLAHI YAKE KWENYE KAMPUNI, KAMA ITALETA MGONGANO KATIKAMPUNI YAKE INAYOKODISHA TIMU YA YANGA NA NEMBO YA YANGA KWA KIPINDI CHA MIAKA KUMI ILI KUPATA MAAMUZI KUPITIA KURA ZA WANACHAMA.
7. KURUDIA KUPITIA MAREKEBISHO YA KATIBA ILIYOAGIZWA NA WANACHAMA KUPITIA VIKAO VYAO MBALIMBALI NA BAADHI KUKATALIWA NATFF, BAADHI HAZIJASAJILIWA KAZI NA BMT NA BAADHI RITA WAMEZIKALIA BILA KUZIFANYIA KAZI KWA SABABU ZISIZOJULIKANA. KUPATA MSIMAMO WA WANACHAMA KWA KUZINGATIA KATIBA YA YANGA INAYOSEMA MIKUTANO YA WANACHAMA NDIO YENYE MAMLAKA YA MWISHO ILIMRADI TU MAAMUZI HAYO YAANGUKIE NDANI YA SHERIA ZA NCHI. NA SI SAHIHI VYOMBO HIVYO KUINGILIAA MAAMUZI HALALI YA WANACHAMA.
8. KUPITIA UTENDAJI WA KAMATI YA MASHINDANO, RATIBA YA LIGI KUU BARA, ADHABU YA YANGA KUTOKA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO AMBAYO ILISABABISHWA NA FUJO ZA MASHABIKI WA SIMBA.
9. KUPATA MAAMUZI JUU YA WANACHAMA AMBAO HAWAFIKI KATIKA MIKUTANO BADALA YAKE WANAKUWA WASEMAJI WA YANGA BILA KUWA NA MAMLAKA HAYO NA KULETA UCHONGANISHI WA WAZI NDANI YA KLABU, KUPOTSOHA JAMII NAKUCHAFUA MAJINA YA VIONGOZI WA KLABU.
10. TAREHE YA UCHAGUZI MDOGO KUJAZIA NAFASI ZILIZO WAZI NA KUPATA MWONGOZOWAKUTUMIA KATIBA IPI KATI YA 2010 AU 2014.PAMOJANA MASAHIHISHO BAADA YA 2014, AU BILA YA MASAHIHISHO YA 2014 YALIYOAMULIWA NA WANACHAMA.
11. HOTUBA YA MWENYEKITI –MAONI NA MSIMAMO WAKE JUU YA MAAZIMIO YA WANACHAMAKWENYE KIKAO; KUSEMA ANAYOYAJUA YA SIRI KUHUSU YANGA NA ADUI WA YANGA NA KUFAFANUA WANAOLETA VURUGU YANGA, BAADHI NI MAMLUKI WA WAFANYABIASHARA WENZAKE WALIOSHINDWA KUMSHINDA KWA NJIA HALALI NA SASA WANAITUMIA YANGA KAMA SEHEMU PEKEE ILIYOBAKI KUMUUMIZA KUPITIA MBINU ZINAZOTUMIKA HASA KWA KULETA VURUGU NDANI YA YANGA ILI KUMCHAFUA YEYE BINAFSI, KUFANYA KWAO HIVYO NI KUSHUSHA HADHI YA KLABU NA MAONI YAKE KWA MASLAHI YA YANGA, KIPI KIFANYIKE.
12. MENGENIYO.
13. SALA.
13.1. Sala ya Waislamu ya Kubariki Maamuzi ya Mkutano.
13.2. Sala ya Wakristo Kubariki Maamuzi ya Mkutano.
14. KUFUNGA MKUTANO.


Duh....Ajenda 14!!!!!!!!!!!!!!?????????????? Duh.....Ni ajenda za ajabu....yeyote aliyeandaa ajenda hizi ni dhahiri hajui maana ya mkutano, na wala hajui ajenda ni kitu gani...
 
Halafu eti kuna agenda ya kujadili adhabu tuliyopewa na serikali kutokana na vurugu zilizofanywa na Simba!!! pathetic !! kwani Yanga haikufanya vurugu??? kwani magate yalivunjwa na nani?? au kwenu nyie huo sio uharibifu au sio vurugu???

Tafadhali serikali simamieni maamuzi yenu hawa wahuni wote wa Simba na Yanga wakatafute viwanja vyao wasituharibie miundo mbinu yetu....fukuza wote!!
Halafu uwanja utachezea baba na mama yako..
 
utakuwa wa matamasha ya bibi na babu yako
Kwani ulijengwa kwa aajili ya matamasha au kwaajili ya mpira wa miguu...
Simba na Yanga hawajaanza kuvuja miundo mbinu cha msingi sheria zifuatwe na siyo kutuletea upuuzi eti marufuku kuutumia kwani uwanja wa mama yako..
 
Kwani ulijengwa kwa aajili ya matamasha au kwaajili ya mpira wa miguu...
Simba na Yanga hawajaanza kuvuja miundo mbinu cha msingi sheria zifuatwe na siyo kutuletea upuuzi eti marufuku kuutumia kwani uwanja wa mama yako..
hatuwezi kuendelea kuwaendekeza hao wahuni tena tukijisifu kuwa hawajaanza leo kuharibu uwanja.....wajenge viwanja vyao huo utabaki kwa ajili ya Timu za Taifa tu!!

na uelewe pia huo uwanja haujangewa bibi yako!
 
Kwani ulijengwa kwa aajili ya matamasha au kwaajili ya mpira wa miguu...
Simba na Yanga hawajaanza kuvuja miundo mbinu cha msingi sheria zifuatwe na siyo kutuletea upuuzi eti marufuku kuutumia kwani uwanja wa mama yako..
Mbulula ww kwani uwanja ni wa simba na Yanga KM hawana ustaarabu ule ni uwanja wa Taifa bana watafute viwanja vyao ndo wakaharibu
 
Jamaa mjanja sana@ crashwise
Na kawashika hawana pa kutokea lazima wampe timu na bil 11.6 watazilipa tu kifupi Yanga haitaka irudi kwa wanachama tena maana hilo deni na anavyosuka uongozi mpaka baraza la wadhamini Manji akawazidi akili wote isipokuwa Mzee Akilimali ila nae hana xha kufanya maana pesa hana...
 
Back
Top Bottom