mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hilo lipo wazi sana jamaa anakiburi na kisirani, hiki kitendo cha kususa sherehe ni ujinga mkubwa, Mbona Kuna watu inajulikana sio mali ya Simba kama Sheva lakini wamekuwa waungwana?
Jamaa analeta kiburi hata kwa waliomtoa kimaisha
Jamaa analeta kiburi hata kwa waliomtoa kimaisha