Ajibu anaenda kupotea

Ajibu anaenda kupotea

Sasa kombe la mapinduzi linaipeleka timu kwenye michuano ipi ya kamataifa?
Sisi tunabeba mataji yenye tija kwa timu,tushaanza na VPL kisha tunamalizia Kigoma kwa mzee Kaduguda,Kigoma sio darby ya ligi ni darby ya final hapo ndo mtajua kama Simba ni Simba na Swala ni Swala lazima mliwe.
Uzuri wenu utelembwe huwa mnasahau kauli zenu na za yule paka manara kila mnapoanza msimu huwa mnatangaza hakuna timu ya kuwafunga na makombe matatu yote mnabeba yaan ligi kuu, mapinduzi na FA eti leo kukosa mapnduz imekuwa halina maana mbumbu bhana da utelembwe
Screenshot_20210718-145221.jpg
 
Angeenda kuchukua medali na wenzake ,Ajibu msimu huu kacheza mda mwingi kuliko Sheva lakini Sheva hakuona sababu ya kuzira
Sidhani kama io itakuwa sababu ya moja kwa moja ya kumlaumu na kumuona kama yupo na kiburi. Kwanza tutambue Ajibu ni mwanadamu kwaio uenda yupo na sababu iliyo nje na uwezo wake. Ninachokijua mchezaji yeyote duniani taji au makombe ndio inakuza zaidi profile no matter ulishirika kucheza kwa ukubwa gani lakini ile siku unakabidhiwa zawadi furaha inajengeka pale.

Hatujui nini kilimkuta ajibu ndo mana hakuwepo pale lakini pia Ajibu simba ndo timu pekee iliyoumpatia mataji so ni ngumu kusema amedharau sherehe au siku ya kukabidhiwa kombe.
 
Moja Kati ya wachezajin wapumbavu wa kizazi Cha Sasa .

Kulikuwa kuna mtu anaitwa nyoso yule nimemsamehe .

Ila Ajibu acha ale jeuri yake .

Aliondoka Yanga kwa dharau .

Mazembe walimtaka akakataa[emoji1].

Jamaa fala Sana sijapata kuona

Ngoja akacheze jkt ruvu
 
Sasa kombe la mapinduzi linaipeleka timu kwenye michuano ipi ya kamataifa?
Sisi tunabeba mataji yenye tija kwa timu,tushaanza na VPL kisha tunamalizia Kigoma kwa mzee Kaduguda,Kigoma sio darby ya ligi ni darby ya final hapo ndo mtajua kama Simba ni Simba na Swala ni Swala lazima mliwe.
Hawa viumbe ndiyo maana GSM anawageuza geuza kama chapati
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Back
Top Bottom