mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
uliza kwanza,sio unaropoka tuBM3 mbona hujamuongelea ?? ..
Acha ufala, nimeuliza sijaropoka ..uliza kwanza,sio unaropoka tu
Hivi alikuwepo leo au zile habari za kutolipwa hela zake ni kweli???BM3 mbona hujamuongelea ?? ..
Sijamuona kabisa ndo maana nimeuliza ..Hivi alikuwepo leo au zile habari za kutolipwa hela zake ni kweli???
basi wahuni akina Hans Pope washampiga kweli akafie mbele huko...Sijamuona kabisa ndo maana nimeuliza ..
ungeuliza yupo wapi,sio una uliza mbona hamuongelei. atamuongelea vipi wakati hana shida na timuAcha ufala, nimeuliza sijaropoka ..
basi wahuni akina Hans Pope washampiga kweli akafie mbele huko...
Hiki kimesajiliwa wiki mbili hizi au ni kile kile cha tarehe 3-July?KIKOSI KIPANA KINAENDA KUFANYA MAANGAMIZI HUKO MWISHO WA RELI....! KWENYE KUSAKA KOMBE HUWA HAKUNA MIZAHA...
Sasa hapo Morrison yupo wapi?View attachment 1858778
Hizi ni post za mtu aliyepigwa?,wakati mwingine tumieni akili
swali la kitopolo
Ameenda kwa kwao kwa ishu za kifamilia..Sijamuona kabisa ndo maana nimeuliza ..
Ili wafukuzwe kazi etiKwanini wasiwe wanayasema wakati bado hawajatibuana.
Simba ilishatoka kwenye ujuha. mwambie atafute kazi ya kufanya Simba sio ya mama yake
Sisi hayatuhusu kama ni muongo nendeni mkamshitaki maana simba na Mo hawa wote ni taasisi kubwa sn nenden mkamshtaki km ni muongoSimba ilishatoka kwenye ujuha. mwambie atafute kazi ya kufanya Simba sio ya mama yake