NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hii habari haina impact yoyote kwa Simba,nyinyi endeleeni na mipasho Simba inakusanya mataji.Sisi hayatuhusu kama ni muongo nendeni mkamshitaki maana simba na Mo hawa wote ni taasisi kubwa sn nenden mkamshtaki km ni muongo View attachment 1858976
Hayo mi hayanihusu mnakusanya mataji gani wkt mipango yenu ni kukusanya kuanzia mapnduzi nk lakn mpk sasa moja mmeshapoteza bado FA nayo kigoma hamtokiHii habari haina impact yoyote kwa Simba,nyinyi endeleeni na mipasho Simba inakusanya mataji.
Morrison yuko kwao Ghana kwa ruhusa ya uongozi.BM3 mbona hujamuongelea?
Huyo kafukuzwa Simba unategea aropoke nini zaidi ya majungu? Hatulei wapuuzi sisi
Huyu hapa yupo kwao Ghana na anaitangaza SimbaSijamuona kabisa ndo maana nimeuliza ..
Jamani kimeumana huku...Hayo mi hayanihusu mnakusanya mataji gani wkt mipango yenu ni kukusanya kuanzia mapnduzi nk lakn mpk sasa moja mmeshapoteza bado FA nayo kigoma hamtoki
Endeleen kutelembwende tu View attachment 1859041
Jamani njooni huku muone Kanjanja wa Mwamedi anavyotoa povu kutetea ugali wakeHuyo kafukuzwa Simba unategea aropoke nini zaidi ya majungu? Hatulei wapuuzi sisi
Majungu gani hujui alichoongea kinashusha hadhi ya taasisi kama utelembwe de mipaka na MO kama muongo nategemea ute na MO waende wakamshitaki haraka sana kama hawatoenda bs ni mkweli mengne hayo hayanihusuHuyo kafukuzwa Simba unategea aropoke nini zaidi ya majungu? Hatulei wapuuzi sisi
HapaaaSalamu za washabiki wa Simba kwa Kijola aka KidotiView attachment 1859143
Na wewe junya la Gharib Tuliza kishundu hichoJamani njooni huku muone Kanjanja wa Mwamedi anavyotoa povu kutetea ugali wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe ni Me au Ke au una vinasaba vya Juma lokole?Na wewe junya la Gharib Tuliza kishundu hicho
Mkuu mwacheni huyo kwani humjui, Ni Bi Hindu nadhani swali lako limepata jibu.
Sasa kombe la mapinduzi linaipeleka timu kwenye michuano ipi ya kamataifa?Hayo mi hayanihusu mnakusanya mataji gani wkt mipango yenu ni kukusanya kuanzia mapnduzi nk lakn mpk sasa moja mmeshapoteza bado FA nayo kigoma hamtoki
Endeleen kutelembwende tu View attachment 1859041
Angeenda kuchukua medali na wenzake ,Ajibu msimu huu kacheza mda mwingi kuliko Sheva lakini Sheva hakuona sababu ya kuziraKiburi cha ajibu kwani kiko wapi?? na uungwana wa akina sheva uko wapi??? tuanzie hapo kwanza