samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
kuna mahali wameandika kuwa magoli ya huyo jamaa aitwae Ajib waweza kuyakopea mkopo kabisa popote .maana yake we wambie nimebet na nitashinda kwa goli la mguu wa dhahabu.
Kesho sio mbali
Kesho sio mbali